Siku ya Tarehe 25/6/2025 kutakua na ligi kubwa itakayofanyika DODOMA ligi hiyo itawakutanisha mafundi wa drafti kutoka sehemu tofauti tofauti hapa nchini
ZAWADI KWA WASHINDI...
Alichokiandika Meneja Habari Wa Azam ZakazaKazi Baada Ya Yanga Kuishinda Simba…
SASA NI TANO KWA TANO
Agosti 9, 2023 Azam FC ilifungwa 2-0 na Yanga kwenye Ngao ya Jamii jijini Tanga,
Shabiki...
Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc...
Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki.
Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa...
Simba imechangia kwa 100% katika ubingwa wa yanga msimu uliopita,wamegawa utamu kotekote,nyumbani na ugenini,alama 6 kwa mpinzani wake waliekuwa wanapigania ubingwa
Lakini ukiangalia kwa umakini...
"Mchezaji mwenye matumizi bora ya Mguu wa Kushoto ni Mohamed Hussein (Simba), Mchezaji bora matumizi Mguu wa kulia ni yeye Feisal Salum (Azam FC), Mmaliziaji bora amemtaja Prince Dube (Young...
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amezungumza kuhusu matokeo ya derby ya jana na kujibu kuhusu baadhi ya maoni ya mashabiki wa klabu yake kuto kumuamini na kumtaka aondoke kwenye uongozi.
Arsenal inapigana vikumbo na wapinzani wao wa Kaskazini mwa London, Tottenham katika mbioz za kumsajili kiungo wa Crystal Palace na England, Eberechi Eze, 26, ambaye anatajwa kuwa na thamani ya...
Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
wakuu
====
kuna taarifa zinasambaaa kuhusu kocha wa simba Fadlu Davis kuondoka unyamani zinaukweli kama ni kweli viongozi wa simba watakuwa wamefeli kwa asilimia ngapi?
Wakuu
Singida Black Stars imefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kinachoanza dhidi ya Wananchi, Young Africans Sc katika dimba la KMC Complex.
Wachezaji wazawa 7 wamepewa nafasi ya...
Hili jambo limenisikitisha sana, Kwa zile mbwembwe za kamati za kujiita 'ubaya ubwege' na jinsi walivyokuwa wakitoa vitisho na kuonekana wamepania na kujipanga haswa nje na ndani ya uwanja...
Wengi tumejikita kwenye habari za kanuni na mabaunsa ila ngoja nipanue kidogo mjadala wa kwa nini derby ya Simba na Yanga haikuchezwa tarehe 08/03/2025.
Msichukulie huu uzi serious sanaaana ila...
USHAURI KWA KLABU YA SIMBA SC PAMOJA NA MCHEZAJI WAO JEAN CHARLES AHOUA!
Sio rahisi sana isipokuwa anafanya kazi kwa bidii zaidi na kuboresha baadhi ya udhaifu:
1. Timu inapopoteza mipira...
Habari wadau.
Prince Dube kwa kweli ni mzigo kwa yanga. Ni bora atolewe kwa mkopo kwenda timu zingine.
Pamoja na Yanga kushinda dhidi ya Simba na kutwaa ubingwa . Dube ameichelewesha sana yanga
Ligi kuu ya Tanganyika inazidi kushika kasi huku miamba wawili wakitunishiana misuli kunyakua ubingwa wa NBC premier league. Hizi hapa mechi ambazo watazicheza away.
Yanga vs 🦁
Namungo vs 🦁...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.