1. Ushindi wa goli nyingi: Simba Sc 6 Yanga Sc 0
Hii ilikuwa 19/07/1977 ambapo Simba Sc iliwanyanyasa sana ndala kwa kuwachapa goli 6 kavu. Mwaka 2012 hii rekodi ilikuwa inavunjwa, ila huruma ya...
Nafikiri hizi stori za Aziz Ki kuuzwa Wydad tuzizike rasmi na tuachane nazo.
Yanga haijawahi kutaka kumuachia Aziz Ki na kitendo cha aliyekuwa kocha wa Mamelodi, Rulani Mokwena kumsogeza na...
Huyu jamaa namkubaligi sana.
Kwa sasa naona hatas Mimi naenda kumuangalia kwenye lig Yao.
Pogba ana entertaining football huwez ukamfananisha na MD Hawa tunaowaona sasa.
Professionally...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga SC shilingi milioni 100, kwa kutambua ushindi na mafanikio makubwa waliopata katika...
Mnyama Mkubwa Mwituni asiyefugika, Simba Sports Club anashuka dimbani leo kuikabili Horoya AC katika mchezo muhimu wa kundi C.
Simba itaingia uwanjani ikiwa na alama 6 huku Horoya wakiwa na alama...
Mimi si Mtaalamu wa uchambuzi ila kama Shabiki ningetamani kusikia ufafanuzi wa kitaalamu kwa mechi ambazo tunaweza kusema hapa ufundi wa Fadlu umeonekana?.
Hivi ni nini kikomo cha muda wa...
Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu.
Imeisha...
Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema 'parade' la Yanga litasimama katika eneo la Msimbazi masaa matatu ikiwa ni kusherehekea ubingwa walioupata msimu huu."
NB: kutakuwa na ulinzi mkali...
Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani.
Points 3 za leo ni...
Umofia Wana Lunyasi !
Niende kwenye mada,
Simba kufungwa mara tano consecutively is not accidentally but planned watu wasione Jambo kubwa mfano mzuri kutoka 2000s - 2010 Yanga alikunjwa kifo cha...
Nadhani mwaka 1988 Simba ilikaribia kushuka daraja ndipo Yanga ya wakati huo ikafanya huruma ya kuachia kombe lichukuliwe na Coastal Union kusudi Simba isishuke daraja. Nawaomba Yanga mwaka kesho...
Kwa wapenzi na watazamaji wa mpira wanajua na wanatambua, kitu cha kwanza na kigezo cha kusema 'huu uwanja ni mzuri' basi ni pitch quality, maana wanaohudhuria uwanjani ni asilimia kidogo sana...
Mji mtamu huuuu
Nasema kama sio pacomw of
Basi mhusika congs nimependa sana kuina hilii
Ukifika afrikana shuka ukienda juliana club
Unakuta kushoto duka la vinywaji la Pacome
Na mambo ya...
Nimeangalia dakika 5 tu za mchezo, ila nimeona kabisa hii mechi imemshinda na ameshindwa kumudu. Ni Ubabe tu na kutoa Macho kwa wachezaji ndio kitu anajua.
Katika ulimwengu wa soka, mijadala ya nani ni bora kuliko mwenzake huwa haikwepeki. Kwa sasa, gumzo limekuwa kati ya wachezaji wawili mahiri: Pacoume Zouzou na Mpanzu. Wote ni wachezaji wenye...
Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo Juni 28, 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwani Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lilipo Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
KAMA N MAPENZI YA MUNGU
SISI WANA YANGA NA SIMBA TUNATAMANI HUYU BWANA APEWE UBUNGE WA HESHIMA JAMANI SIO KWA VIWANGO VILE UWANJANI
KWAKO MAMA YETU
TUNAOMBA SIKIA OMBI LETU
MUNGU IBARIKI TANZANIA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.