Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mimi ni shabiki wa Man U kwa pale EPL na Spain ni Valencia CF. Man U Nilianza kuwa shabiki wake nikiwa shule ya msingi. Kuna rafiki yangu alikuwa kanunua gazeti jipya la michezo, basi katikati...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Mpaka Sasa Mbeya City 1 Kagera 4 Nini kimetufika hapa mjini kwetu???? Washomile wanatamba
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Klabu ya FC Barcelona Ya Nchini Hispania inatarajia kutumia jezi Hiyo msimu unaokuja, Ni jezi inayoonekana kuwa na ubora wa Hali ya Juu na Mvuto Hata kwa uvaaji wa kawaida wa Mashabiki inaonekana...
4 Reactions
30 Replies
16K Views
Kagere amefunga mfululizo katika mechi 5 za kwanza za Ligi kuu Tanzania bara, je kuna mshambuliaji mwingine amewahi kufanya hivyo kabla?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Dah! Samatta alivyotupia tu goli, Mbagala yote Ilisimama. Mara paah! Refa akasema ni offside, hayo matusi yaliyotoka kibandani kama angekuwa karibu watu wangeruka naye.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao. Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sisi tunakwama wap kwenye miundombinu katika soka,yan hata championship pale England wana viwanja vizuri sana
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Ghana, Senegal na Ivory Coast zote zilishindwa kufuzu kwa kombe la mataifa ya Afrika (CHAN) 2020 siku ya Jumapili Ghana lishindwa kulipiza bao moja iliyofungwa katika mkondo wa kwanza dhidi ya...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Maisha Yakiamua Kukukomesha Bhana.. Unaweza Ukafanya Biashara ya Kugawa Hela Na Usipate Wateja.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nyasi za uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Jumatano ya Oktoba 23, 2019, zinatarajia kuwaka moto kwa mpambano mkali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika tishini, katika ile patashika ya...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Mechi ya leo ,ni kielelezo cha kiwango cha soka cha Tanzania! Leo wanaume wanacheza ...wengine make pembeni muone burudani murua! .... atakaye fanya kosa ndiye atakaye lia!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeangalia kikosi cha timu ya Taifa ya Ufaransa kilichoitwa kwa ajili ya world cup, binafsi sijaridhishwa na maamuzi kadhaa yaliyofanywa na Kocha wa timu hiyo, Didier Deschamps. Kwanza...
7 Reactions
123 Replies
12K Views
Tanzanian star Samatta has sights set on Liverpool as Salah fights for fitness Andy SCOTT,AFP 11 hours ago Mbwana Samatta, in the blue of...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Sports Extra ambao ni Clouds FM hawa jamaa ni wabunifu katika swala la vipindi vyao kupitia wao wengne wamewaiga na kujaribu kuleta mapinduzi, Moja ya wariofanikiwa kuja kivingne kabsa ni hawa...
3 Reactions
43 Replies
9K Views
Kwa kuwa mmeamua kuloga badala ya kucheza mpira leo vyuramid lazima mfungwe na Mbao FC Tupo tunasubiri mtu afungwe tatu bila na Jumapili ni sita bila.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari, Jana nilikuwa nafuatilia hafla fupi ya miaka miwili ya uongozi wa TFF chini ya Rais Wallace, mengi yalizungumzwa ila kuna jambo moja mimi binafsi sijakubaliana nalo jambo lenyewe ni hii...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Huku wakiwa kwenye mchakato wa kutafuta kocha mkuu, hili suala nawaombeni TFF msikurupuke, mwishowe tuanze kulialia na kuwalaumu. Ushauri wenu wadau kwa TFF wakati wakiwa kwenye huu mchakato wa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Zimepita dakika nne tangu siku mpya ianze... Ni saa sita na dakika nne... Usiku tulivu kabisa... Kwangu mimi ndio kumekucha lakini kwa wengine wengi ndio muda wao wa kupumzika, kupumzisha mwili na...
32 Reactions
104 Replies
15K Views
Superclásico is the football match in Argentina between Buenos Aires rivals Boca Juniors and River Plate. RIVER PLATE & BOCA JUNIORS, Saa 9:30 Juma Nne, usiku...Marudio 23/10/2018, saa 9;30...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Wenzetu Azam fc wameamua kufikia muafaka kwa kuachana na mwalimu wao kipenzi Ettiene Ndairagije, na hivyo kumkabidhi timu mwalimu mpya raia wa Romania. Sababu ya...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom