Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,693
Klabu ya FC Barcelona Ya Nchini Hispania inatarajia kutumia jezi Hiyo msimu unaokuja, Ni jezi inayoonekana kuwa na ubora wa Hali ya Juu na Mvuto Hata kwa uvaaji wa kawaida wa Mashabiki inaonekana itakuwa na Mvuto Saana, Kwa Hili Naipongeza Barca Pamoja Na mdhamini Mpya Rakuten Wametisha sana! imeandaliwa na TheMason