Ghana, Senegal na Ivory Coast zaondolewa CHAN

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,519
12,613
Ghana, Senegal na Ivory Coast zote zilishindwa kufuzu kwa kombe la mataifa ya Afrika (CHAN) 2020 siku ya Jumapili

Ghana lishindwa kulipiza bao moja iliyofungwa katika mkondo wa kwanza dhidi ya Burkina Faso, na kutoka sare tasa mjini Ouagadougou.

Hii inamanisha kuwa Black Stars hawatashiriki fainali za mashindao hayo ya Cameroon 2020 ambayo yanachezwa na wachezaji wa Afrika katika mataifa waliozaliwa.Senegal, pia ni timu kubwa ilioondolewa katika fainali hizo baada ya kushindwa na Guinea kupitia mikwaju ya penalti.

Senegal ilienda Conakry ikiwa kifua mbele na kwa bao 1-0 lakini Guinea ilijikakamua katika mechi yao ya nyumbani na kujipatia ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Mamadouba Bangoura.

Baada ya kutoka sare ya 1-1 katika mechi zote, wenyeji walifuzu kupitia mikwaju ya penalti 3-1.

Ivory Coast ilishindwa kufuzu katika fainali hizo licha ya kushinda mechi yao ya nyumbani dhidi yaNiger 1-0.

Timu hiyo ilishindwa mabao 2-0 na Niger katika mkondo wa kwanza kumaanisha waliondolewa kupitia wingi wa mabao 2-1 .

Siku ya Jumapili pia, Zimbabwe ilijikatia tiketi ya kushiriki mashindano hayo ya Cameroon mwaka 2020 baada ya kutoka sare tasa dhidi ya Lesotholakini ikafuzu kwa wingi wa mabao 3-1.

DR Congo iliishabanga Jamhuri ya Afrika ya Kati mabao 4-1 mjini Kinshasa ushind ambao uliwapatia jumla ya mabao 6-1 huku nao Congo Brazzaville wakifuzu kwa bao 1-0 la nyumbani dhidi ya Equatorial Guinea na kunyakua jumla ya mabao 3-2.

Katika eneo la kaskazini,Tunisia ilijikatia tiketi ya mashindano hayo baada ya kupata ushindi wa jumla wa mabao 3-1dhidi ya Libya.

Mali
pia itashiriki mashindano hayo baada ya Cameroon, baada ya kuinyuka Mauritania jumla ya mabao2-0.

Nigeria iliathiriwa zaidi katika mashindano hayo baada ya kushindwa na Togo siku ya Jumamosi huku bingwa watetezi Morocco wakipata ushindi dhidi ya Algeria.

Timu zilizofuzu kwa mashindano ya mataifa ya Afrika(CHAN) yatakayoandaliwa Cameroon:

  • Cameroon (mwenyeji)
  • Tanzania
  • Uganda
  • Rwanda
  • Zambia
  • Namibia
  • Togo
  • Morocco
  • Zimbabwe
  • DR Congo
  • Congo
  • Tunisia
  • Burkina Faso
  • Guinea
  • Niger
  • Mali
  • Source:BBC
 
Afadhali east africa angalau tunaonekana kidogo
Ilikuaga ni west africa na waarabu tu utadhani hayo mashindano ni kwaajili yao
 
Hizo nchi wachezaji wake wazuri wanawaza kwenda kucheza nje ya Africa,Masalia ndiyo yanabaki Africa kwahiyo huwezi kushangaa maana hata league zao Si za ushindani sana na hata mashindano ya Africa timu zao hazifanyi vizuri sana.

Mechi za mataifa haya huwezi kuta local based players wanacheza national team katika mashindano mengine
 
Kombe litatua Tanzania.
Ghana, Senegal na Ivory Coast zote zilishindwa kufuzu kwa kombe la mataifa ya Afrika (CHAN) 2020 siku ya Jumapili

Ghana lishindwa kulipiza bao moja iliyofungwa katika mkondo wa kwanza dhidi ya Burkina Faso, na kutoka sare tasa mjini Ouagadougou.

Hii inamanisha kuwa Black Stars hawatashiriki fainali za mashindao hayo ya Cameroon 2020 ambayo yanachezwa na wachezaji wa Afrika katika mataifa waliozaliwa.Senegal, pia ni timu kubwa ilioondolewa katika fainali hizo baada ya kushindwa na Guinea kupitia mikwaju ya penalti.

Senegal ilienda Conakry ikiwa kifua mbele na kwa bao 1-0 lakini Guinea ilijikakamua katika mechi yao ya nyumbani na kujipatia ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Mamadouba Bangoura.

Baada ya kutoka sare ya 1-1 katika mechi zote, wenyeji walifuzu kupitia mikwaju ya penalti 3-1.

Ivory Coast ilishindwa kufuzu katika fainali hizo licha ya kushinda mechi yao ya nyumbani dhidi yaNiger 1-0.

Timu hiyo ilishindwa mabao 2-0 na Niger katika mkondo wa kwanza kumaanisha waliondolewa kupitia wingi wa mabao 2-1 .

Siku ya Jumapili pia, Zimbabwe ilijikatia tiketi ya kushiriki mashindano hayo ya Cameroon mwaka 2020 baada ya kutoka sare tasa dhidi ya Lesotholakini ikafuzu kwa wingi wa mabao 3-1.

DR Congo iliishabanga Jamhuri ya Afrika ya Kati mabao 4-1 mjini Kinshasa ushind ambao uliwapatia jumla ya mabao 6-1 huku nao Congo Brazzaville wakifuzu kwa bao 1-0 la nyumbani dhidi ya Equatorial Guinea na kunyakua jumla ya mabao 3-2.

Katika eneo la kaskazini,Tunisia ilijikatia tiketi ya mashindano hayo baada ya kupata ushindi wa jumla wa mabao 3-1dhidi ya Libya.

Mali
pia itashiriki mashindano hayo baada ya Cameroon, baada ya kuinyuka Mauritania jumla ya mabao2-0.

Nigeria iliathiriwa zaidi katika mashindano hayo baada ya kushindwa na Togo siku ya Jumamosi huku bingwa watetezi Morocco wakipata ushindi dhidi ya Algeria.

Timu zilizofuzu kwa mashindano ya mataifa ya Afrika(CHAN) yatakayoandaliwa Cameroon:

  • Cameroon (mwenyeji)
  • Tanzania
  • Uganda
  • Rwanda
  • Zambia
  • Namibia
  • Togo
  • Morocco
  • Zimbabwe
  • DR Congo
  • Congo
  • Tunisia
  • Burkina Faso
  • Guinea
  • Niger
  • Mali
  • Source:BBC
 
ndo maana
lkn kanuni zisingebadilishwa yale ma west africa yangutubuluza milele
mengi yana talent alafu yanatoka sana kwenda ughaibuni kupiga ndwange au kabumbu
Nikutokana na kubadirishwa kwa kanuni,game zinapangwa kwa zones...... Kwahiyo tunashindanishwa ni lazima tuwe na muwakilishi East Africa
 
ndo maana
lkn kanuni zisingebadilishwa yale ma west africa yangutubuluza milele
mengi yana talent alafu yanatoka sana kwenda ughaibuni kupiga ndwange au kabumbu
Yeah ndiyo maana hata Afcon tulifuzu baada ya kila kundi kuwa inatoa timu 2,zamani ilikuwa timu moja tu inayoongoza ligi na mshindwa bora (Best looser)
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom