Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mchezo wa kufuzu mashindano ya CHAN umemaliza kwa Timu ya Taifa ya Tanzania kushinda kwa magoli mawili dhidi ya goli moja kwa Sudani. Mechi ya awali, Timu ya Taifa ya Sudan ilishinda kwa goli...
4 Reactions
218 Replies
27K Views
Nimeicheki mechi ya Sudan dhidi ya Taifa stars iliyoisha kwa 1-2 nimefurahishwa na kipaji cha huyu mchezaji aliyeongezwa kwenye kikosi cha Taifa stars dakika za mwishoni kutokana na uwezo wake...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
[emoji1621] Tarehe 06/2/ 1971,Ndugu Alan Shepard alifanikiwa kufika mwezini. Na miongoni mwa shughuli alizo jishughulisha nazo ni kucheza gofu. [emoji1621] Hivyo basi akaupa mchezo wa gofu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeona mara nyingi wanatuhikiz tufike airport kuwapokea na baada ya kuwapokea wana panda basi lao.wanenda waendako. Hii sio nziuri kabisa.. TFF tafuteni hata gari kubwa la wazi wachezani...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
MESSI GOLDEN SHOE 6 RONALDO 4 DE LIMA 1 La Pulga; The King. Mchezaji bora wa dunia Leonel Messi jana amekabidhiwa kiatu chake cha Dhahabu baada ya kuwa mfungaji bora wa magoli kwa ligi za Barani...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Tukifanikiwa sawa ila tukianguka basi tusianze Kulaumiana wala Kununiana au hata Kuwatafuta Wachawi. Ombi langu tu nawaomba Wahusika Siku za baadae wanijumuishe An Eagle katika Kamati ya Fitna na...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Jana nimepata message nyingi watu wakita kujua kati ya KIPCHOGE na BOLT nani zaidi! hivyo leo ninaweka analysis kidogo kuhusu hawa wawili na nani ni mkali zaidi! Usain Bolt wa Jamaica na Eliud...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Wana Jf natumai mpo wazima wa afya ,nami nipo good kiafya na Mungu ni mwema siku zote. Kuna hii michezo ya mieleka, huwa naiangalia lakini mimi sijawahi kukubali kuwa huo huwa ni ukweli. Kwa...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Yanga washataja viingilio vya mechi yao ya kombe la shirikisho ambapo kiwango cha chini kabisa ni shilingi elfu kumi. Sasa ukiangalia viwango vya viingilio inaonesha yanga wanahitaji sana pesa...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa Muda Mrefu Sasa Naitafuta Hii Handheld Video Game... Wapi Naeza Kupata Kwa Hapa Dar Es Salaam, Na Gharama Yake!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Mimi nimekuwa si mnazi sana wa mchezo wa ndondi; nimejikita zaidi katika kufuatilia mchezo wa soka. Aidha, katika kufuatilia soka katika kurasa mbalimbali za michezo nimekuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Oscar Mirambo rasmi ndiye mkurugenzi wa ufundi atahusika na timu ya taifa zote za vijana na wakubwa,wakike na kiume. Ana kazi ya kuandaa sera za mpira wa Tanzania na kutoa mwongozo wa namna soka...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Baada ya kumsainisha Ibrahim Ajib, kuna kila dalili kwamba, Deo Kanda na Jesse Were watasaini muda wowote.
5 Reactions
35 Replies
6K Views
Tirunesh Dibaba, (alizaliwa Juni 1, 1985, karibu na mji wa Bekoji, mkoa wa Arsi, Ethiopia), ni mwanariadha wa mbio wa Ethiopia ambaye alishinda kwa mara ya kwanza mashindano ya dunia (World...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mods pliz msiunganishe uzi huu Hawa ndio wameiua na kuizika Yanga leo huku wakiwa ni waajiriwa wa timu hiyo. Mimi naanza na Hassan Kessy ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Simba aliyeihujumu Yanga...
6 Reactions
29 Replies
5K Views
Kama thread inavyosema. Huu ndio uwanja utakaotumika kwa mtanange huo. Na CAF wameupitisha aseee Afrika hiii. Credit kwa Cloudstv mtangazaji ni Jacob Mbuya
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mtandao wa Goal.com umetoa kikosi bora cha Chelsea kwa muongo mmoja. Nani amesahaulika hapa?
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Kaimu kocha mkuu wa timu ya taifa Tanzania 'Taifa Stars', Etienne Ndayiragije amewatoa presha mashabiki wa Tanzania kwa kusema wana kila sababu ya kupindua matokeo kutokana na maandalizi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mnapoambiwa kuwa Simba Sports Club ni Timu Kubwa Barani Afrika msiwe mnabisha ili mradi tu mbishe. Kocha wa Bandari FC ambaye aliwahi kuwa Mchezaji Mwandamizi na Tegemeo kabisa hada kwa upande wa...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
[emoji1614]Uliangalia Mechi ya England U 20 Vs Austria ? ...Basi kama Ulibahatika Kuitazama Hiyo Mechi Ambayo Hudson Odoi Pamoja na Eddie Nketia Waliichakaza Austria Nadhani Ulipata Kuliskia Jina...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom