[emoji1211] Sadio Mané has built a school in his local village in Senegal at a cost of €270,000.
[emoji541] He has also built a hospital and financed a stadium for the people.
[emoji122]Mane...
Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji...
KIKOSI CHA MWISHO CHA KILIMANJARO STARS
Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ limetaja orodha ya mwisho ya wachezaji 22 wanaoondoka kuelekea nchini Uganda...
Bondia Antony Joshua amefanikiwa kumshinda kwa points hasimu wake mkubwa Andy Ruiz Jr na kufanikiwa kutwaa mikanda iliyokuwa ikishikiliwa na Ruiz.
AJ alikuwa akipigana kwa tahadhari kubwa.
This folk is so talented.
Nashangaa kwanini yupo team ndogo kama Crystal Palace, kwanini walau asiwe hata Arsenal.
Akiwa na mpira una enjoy kumtizama, anajiamini, ana skills za kutosha, ana...
Salaam nyingi zikufikie hapo ulipo na Pole na majukumu yako ya kitaifa.
Napenda kukuomba uwaulize watu wa Boxing, hivi wale mabondia watanzania walio pambana Jana kwenye pambano la Antony Joshua...
Habari zilizopo ni kwamba mshambuliaji wa Yanga Sidney ameandika barua ya kuomba kuvunjwa kwa mkataba wake.
Leo pia striker Molinga ameomba kujitoa Yanga kutokana na kutolipwa mishahara kwa...
Leo Andy Luiz atajuta kumfahamu bondia kipenzi cha GENTAMYCINE Antony Joshua. Kwa wale ambao 'mnabeti' tayari nimeshapewa matokeo na 'mtaalam' wangu kutumia nujumu / tabiri zake ambapo 'Kibonge'...
Nikiwa kama Mmoja wa Watu niliochukizwa kama siyo kukasirishwa na Kitendo Bondia Mwakinyo cha Kumdhihaki Bondia mwenye Historia iliyotukuka hapa Tanzania Rashid Matumla hadi GENTAMYCINE...
Jana kulikuwa na mpambano mkali wa ngumi baina ya Anthony Joshua na Ruiz Jr. Yeyote aliyeshuhudia pambano hilo aliona jinsi Anthony Joshua alivyokuwa anakwepa staili ya kuegemea kamba.
Kila Ruiz...
Bingwa wa uzito wa juu duniani anayeshikilia mikanda mitatu mikubwa Antony Joshua 'AJ' kesho alfajiri atapanda ulingoni kwenye pambano lake ya 23 kuchapana na Mmexico Andy Ruiz Jr. Hapo awali...
Kwako Pep Guardiola ..!
Mimi nikiwa kama shabiki wa Man City ninayewakilisha mashabiki wa Man City nchini Tanganyika ninaomba ufanya mambo yafuatayo katika mechi dhidi ya Liverpool itakayopigwa...
For much of their existence, Manchester City have sat firmly in United’s shadow. In 1999, when legendary United manager Sir Alex Ferguson’s illustrious side won an unprecedented treble, City were...
Wadau kwa mazingira yangu imekua ngumu kufuatilia mechi za EPL mabanda umiza...naulizia Leo game ya Liverpool na Bournemouth itarushwa na Azam UTV? Niko shamba.
Baada ya Chelsea kuruhusiwa kusajili uongozi wa Chelsea umempa lampard paund mil 150 za usajili.Lampard amesema atasajili maeneo machache sana ambayo ameona Yana upungufu ndo maana nimewaambia...
Hatimaye aliyekuwa kocha wa klabu ya Simba Mr "uchebe" ameondolewa kuifundisha klabu hiyo.Kupitia page yake ya Instagram uchebe amethibisha hayo.
Kocha wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems...
Promota wa AJ ametangaza rasmi uwepo wa rematch kati ya mteja wake na Andy Ruiz mnamo Nov/Dec ingawa bado haijajulikana itafanyikia wapi, hii ni baada ya AJ kupoteza pambano lake la kwanza kwa...