Olmost
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 337
- 439
KIKOSI CHA MWISHO CHA KILIMANJARO STARS
Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ limetaja orodha ya mwisho ya wachezaji 22 wanaoondoka kuelekea nchini Uganda kwaajili ya michuano ya CECAFA Challenge inayotarajiwa kuanza Desemba 7, 2019.
Kwenye orodha hiyo, majina 11 yamekatwa kutoka kwenye kikosi cha awali ili kukidhi idadi inayohitajika ambapo miongoni mwa waliokatwa ni golikipa Juma Kaseja, ambaye taarifa zinaeleza anasumbuliwa na majeraha.
Pia mshambuliaji wa Ik Frej Taby ya nchini Sweden Rashid Chambo ameongezwa kwenye kikosi licha ya kuwa hakutajwa katika kikosi cha awali.
Wachezaji wanaokwenda Uganda ni.
1. Metacha Mnata – Yanga SC
2. Aishi Manula – Simba SC.
3. David Kisu – Gor Mahia.
4. Juma Abdul – Yanga SC
5. Nickson Kibabage – Difaa El Jadid, Morocco.
6. Gadiel Michael – Simba SC.
7. Mwaita Gereza – Kagera Sugar.
8. Mohamed Hussein – Simba SC.
9. Bakari Mwamnyeto – Coastal Union.
10. Kelvin Yondan – Yanga SC
11. Baraka Majogoro – Polisi Tanzania.
12. Jonas Mkude – Simba SC.
13. Zawadi Mauya – Kagera Sugar.
14. Mzamiru Yassin – Simba SC
15. Hassan Dilunga – Simba SC.
16. Ditram Nchimbi – Polisi Tanzania
17. Cleoface Mkandala – Tanzania Prisons.
18. Paul Nonga – Lipuli FC
19. Miraji Athuman – Simba SC.
20. Eliuter Mpepo – Buldcon, Zambia.
21. Lucas Kikoti – Namungo FC.
22. Rashid Chambo – Ik Frej Taby, Sweden.
WALIOKATWA:
Wachezaji 11 waliokuwa wametajwa katika kikosi cha awali na sasa hawamo ni pamoja na
1. Juma Kaseja - KMC
2. Salum Kimenya – Tanzania Prisons.
3. Abdulmajid Mangalo – Biashara United.
4. Fred Tangalu – Lipuli FC
5. Idd Seleman – Azam FC.
6. Kelvin John – Football House.
7. Jaffary Kibaya – Mtibwa Sugar.
8. Salum Abubakar – Azam FC.
9. Eliud Ambokile – TP Mazembe, DR Congo.
10. Yusuph Mhilu – Kagera Sugar.
11. Shaban Chilunda – Azam FC