CarloJesus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 431
- 838
Wadau kwa mazingira yangu imekua ngumu kufuatilia mechi za EPL mabanda umiza...naulizia Leo game ya Liverpool na Bournemouth itarushwa na Azam UTV? Niko shamba.
AsanteYes, azam wataionesha mana hata kule dstv imeachiwa kwenye kifurushi cha elf 19