Kenya leo tunawapiga challenge

Mechi yoyote tukicheza na nyie ugenini lazima tuwaoe huko huko.
Uchawi wenu huwa hauna nguvu huko...
 
HARAMBEE Stars leo Lazima wakalishwe dhidi ya KILIMANJARO Stars.
Mungu Ibariki Tanzania!!
Tanzania bado sana kwetu
Screenshot_2019-12-08-16-28-47.jpeg
 
Daa Tumefungwa na Majirani.
Timu mbovu Cocha hajulikani alipotolewa!!
GOD have mercy on Us.
Utanga umeshamiri TFF
Afadhali umezungumzia kocha. Niliona hilo mapema sana. Watu wanapewa kufuata uhomeboy na siasa za Yanga na Simba.
Hivi Mgunda na Mecky nani bora?
 
Afadhali umezungumzia kocha. Niliona hilo mapema sana. Watu wanapewa kufuata uhomeboy na siasa za Yanga na Simba.
Hivi Mgunda na Mecky nani bora?
Angepewa Maxime au Mkwasa.
Mgunda hana CV yoyote ya kufundisha timu ya Taifa. Hata kuwepo ktk bench la Ufundi National team ni mzigo.
 
Afadhali umezungumzia kocha. Niliona hilo mapema sana. Watu wanapewa kufuata uhomeboy na siasa za Yanga na Simba.
Hivi Mgunda na Mecky nani bora?
Yule kocha wa Prison Adolph richard ana profile kubwa sana lakini tifutifu wanajifanya hawamuoni mgunda coastal yake inamshinda ataweza taifa stars
 
Yule kocha wa Prison Adolph richard ana profile kubwa sana lakini tifutifu wanajifanya hawamuoni mgunda coastal yake inamshinda ataweza taifa stars
Ni kweli kabisa. Ni kocha mzuri sana. Lakini Adolf Rishard si mtu wa kulamba watu miguu.
Watu wanapewa kama hisani.
 
Kikosi kina sura mpya nyingi.. Wachezaji hawaelewani kabisa
Kocha pia kupanga kikosi ni mtihani sana, timu haitengenezi nafasi.. Mzigo mkubwa anabeba Yondani + Manula + Mzamiru.
Uganda tumeenda kupiga zoezi tu hatuna timu hapo
 
Nipo na Zenji katika mashindano haya! Timu ya Tanganyika ipo hovyo hovyo....
 
Back
Top Bottom