Ujumbe kwa Guardiola kuelekea mechi ya jumapili dhidi yaLliverpool

George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
4,018
4,909
Kwako Pep Guardiola ..!
Mimi nikiwa kama shabiki wa Man City ninayewakilisha mashabiki wa Man City nchini Tanganyika ninaomba ufanya mambo yafuatayo katika mechi dhidi ya Liverpool itakayopigwa katika uwanja wa Anfield:
Kwanza kabisa itakuwa vyema kama Sterling ataanzia benchi...
No Otamendi please...
Usiwachezeshe pamoja Gundogan na David Silva, muweke benchi David Silva, hawa jamaa wako slow mno, hawataweza kupambana na Fabinho/Chamberlain/Keita katikati ya uwanja...
Mchezeshe Mahrez kama winga wa upande wa kulia...
Nafasi ya winga wa kushoto ambayo huwa anacheza Sterling mchezeshe Gabriel Jesus, Aguero acheze nafasi yake...
Mchezeshe Bernardo Silva nafasi ya David Silva, Bernardo Silva ni mpambanaji haswa...
Mruhusu De Bruyne kuzunguka pande zote za uwanja...
Beki za kati wachezeshe Fernandinho na Stones, sidhani kama una option nyingine hapa...
Angelino acheze beki ya kushoto, Mendy yupo Slow sana..!
Beki ya kulia acheze tu Walker...
Hapo unaweza utapata ushindi ndani ya Anfield asubuhi na mapema, usipopanga kikosi kama nilivyokuelekeza timu yetu itafungwa..!
 
Kwani Guardiola ni member humu au unaandika for fun tu.
 
Huu mchezo ni rahisi sana kwa pande zote maana mkubwa kwa mkubwa ni ngumu kujua nani anadondoka

Unaweza kukuta bahat sio yako ukaishia kugonga besela
 
Ederson
Walker Stones Otamemd Mendy

Fernandinho KdB David silva

Bernaldo Aguero. Raheem
Kwa hiki kikosi ulichoweka Man City hawezi kushinda...
Sterling, David Silva na Otamendi hawatakiwi kucheza siku hiyo..!
Akimuanzisha Otamendi inaweza isilete shida sana, ila Sterling na David hawatakiwi kuanza kabisa..!
 
Tanganyika wewe ni Kocha wa timu gani Ligi kuu mkuu?...BTW ushindi asubuhi wakati game Jioni,hizi si kama mbwembwe za kwny siasa kweli??
 
Nyumbu umewahama lin mkuu
Kwako Pep Guardiola ..!
Mimi nikiwa kama shabiki wa Man City ninayewakilisha mashabiki wa Man City nchini Tanganyika ninaomba ufanya mambo yafuatayo katika mechi dhidi ya Liverpool itakayopigwa katika uwanja wa Anfield:
Kwanza kabisa itakuwa vyema kama Sterling ataanzia benchi...
No Otamendi please...
Usiwachezeshe pamoja Gundogan na David Silva, muweke benchi David Silva, hawa jamaa wako slow mno, hawataweza kupambana na Fabinho/Chamberlain/Keita katikati ya uwanja...
Mchezeshe Mahrez kama winga wa upande wa kulia...
Nafasi ya winga wa kushoto ambayo huwa anacheza Sterling mchezeshe Gabriel Jesus, Aguero acheze nafasi yake...
Mchezeshe Bernardo Silva nafasi ya David Silva, Bernardo Silva ni mpambanaji haswa...
Mruhusu De Bruyne kuzunguka pande zote za uwanja...
Beki za kati wachezeshe Fernandinho na Stones, sidhani kama una option nyingine hapa...
Angelino acheze beki ya kushoto, Mendy yupo Slow sana..!
Beki ya kulia acheze tu Walker...
Hapo unaweza utapata ushindi ndani ya Anfield asubuhi na mapema, usipopanga kikosi kama nilivyokuelekeza timu yetu itafungwa..!
 
Tanganyika wewe ni Kocha wa timu gani Ligi kuu mkuu?...BTW ushindi asubuhi wakati game Jioni,hizi si kama mbwembwe za kwny siasa kweli??
I am "Premier League Fantasy Manager", una swali lingine kuhusu CV yangu kwenye kabumbu..?
Kwa hicho kikosi nilicho mshauri Pep apange siku ya Jumapili Liverpool hachomoki, akijitahidi sana atapata sare..!
 
aisee MI mahrez simkubali kabisa maana akishapata mpila badala ya kustruggle kutoa assist yeye anarudisha mpila nyuma au anabutua cjui kwa sababu huwa anatumia kushoto tu ama anaogopa kupoteza mpila
 
Back
Top Bottom