Ujumbe wa wazi kwa Waziri wa michezo Dokta Harrison Mwakyembe

mjakazi mwema

Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
79
Points
125

mjakazi mwema

Member
Joined Oct 8, 2017
79 125
Salaam nyingi zikufikie hapo ulipo na Pole na majukumu yako ya kitaifa.

Napenda kukuomba uwaulize watu wa Boxing, hivi wale mabondia watanzania walio pambana Jana kwenye pambano la Antony Joshua yale mapambano ya utangulizi ni vigezo gani walitumia kuwapeleka?

Mimi Si mtaalam wa Boxing ila naomba promota alie wapeleka na wakafanya Tanzania itajwe tajwe pale na aibu ile naomba kaeni nao siku nyingine wasitu aibishe tena kupeleka watu wasio na uwezo wakati siku ya pambano la Mwakinyo tuliona vipaji vingi tu.

Wizara lisimamieni shirikisho la ngumi kwa karibu kukomesha Aibu ile.
Mwiteni yule promoter ajieleze Yaani mtu kapigwa ngumi moja tu chali na mtungi wa gesi anawekewa.
So
 

Forum statistics

Threads 1,381,426
Members 526,090
Posts 33,799,929
Top