Mungu bariki hii timu bado tuna mapenzi nayo

Na pia wapo 10 points away from top four...hahahahaha
Na kila wakikutana na timu zilizo chini yao kwenye msimamo wa ligi ni either wanafungwa au wanalazimisha droo, mfano Brighton na Southampton.
 
Back
Top Bottom