Boxing: Hatimaye Joshua arudisha mikanda yote baada ya kumpiga Andy Ruiz

godson Lomayani

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
538
711
Bondia Antony Joshua amefanikiwa kumshinda kwa points hasimu wake mkubwa Andy Ruiz Jr na kufanikiwa kutwaa mikanda iliyokuwa ikishikiliwa na Ruiz.

AJ alikuwa akipigana kwa tahadhari kubwa.
 
Hatimae Mbabe wa masumbwi wa uzito wa juu ni Anthony Joshua baada ya kumdunda Andy Ruiz kwa point.
Screenshot_20191208-011326_Live%20FOOTBALL%20TV.jpeg
Screenshot_20191208-011314_Live%20FOOTBALL%20TV.jpeg
Screenshot_20191208-011213_Live%20FOOTBALL%20TV.jpeg
 
Ndoni zilipoteza mvuto hapa nyuma kdg
baada ya kizazi cha akina
Mike tyson,
Buster Douglas,
lenox Lewis,
Evander Holyfield,
Frank Bruno,
Vitali Klitschko,
Wladimir Klitschko...

Sitaki kuzungumzia enzi za Thrilla in Manila, maana nilikua hata sijafikiriwa.

Ila naona taratibu zikirudisha mvutooo, japo sikuhizi maneno mengi na kupambana pambana kwingi.

Huyo Joshua sio mutu ya maneno mengi kama mtaalam Mayweather.
 
Jana Marcus Rashfor alipofunga goal na Antonio Martial nikajua ushindi kwa Antony Joshua lazima ...Kwanza Rashford goal lake alimpatia Antony Joshua ...pili rangi nyeusi ilikuwa siku yao .
 
Bondia Antony Joshua amefanikiwa kumshinda kwa points hasimu wake mkubwa Andy Ruiz Jr na kufanikiwa kutwaa mikanda iliyokuwa ikishikiliwa na Ruiz.

AJ alikuwa akipigana kwa tahadhari kubwa.
Nimependa zile jabs za Joshua japo bado hazikuwa kali kama zile za Lennox Lewis.
 
Andy ruiz ni kidume kwelikweli, anajuwa ...mjomba yeye muda wote alikuwa anakimbiakimbia na kurudi nyuma...bahati vipoint vimemsaidia otherwise KO ilikuwa inamhusu kama first game!
 
Andy ruiz ni kidume kwelikweli, anajuwa ...mjomba yeye muda wote alikuwa anakimbiakimbia na kurudi nyuma...bahati vipoint vimemsaidia otherwise KO ilikuwa inamhusu kama first game!
Ngumi n techniques skills...Anthony Joshua alivurunda game ya kwnz, so alienda kumusoma adui, angerudia makosa usingekosa cha kuongea pia...
 
Ndoni zilipoteza mvuto hapa nyuma kdg
baada ya kizazi cha akina
Mike tyson,
Buster Douglas,
lenox Lewis,
Evander Holyfield,
Frank Bruno,
Vitali Klitschko,
Wladimir Klitschko...

Sitaki kuzungumzia enzi za Thrilla in Manila, maana nilikua hata sijafikiriwa.

Ila naona taratibu zikirudisha mvutooo, japo sikuhizi maneno mengi na kupambana pambana kwingi.

Huyo Joshua sio mutu ya maneno mengi kama mtaalam Mayweather.
Joshua Hana kitu wale wale tu hakuna ndondi
 
Ngumi n techniques skills...Anthony Joshua alivurunda game ya kwnz, so alienda kumusoma adui, angerudia makosa usingekosa cha kuongea pia...

Penye ukweli tunasema bila kuingiza chembe za ubaguzi...Ruiz ni mzuri zaidi ya AJ sema haikuwa bahati tu...AJ alichokuwa anakitafuta ni point kama May weather dhidi ya Paquiao same style...narudia tena mwanaume hutakiwi kurudi nyuma pambana mpaka mwisho bila kumkimbia mpinzani...ndicho alichokuwa anakifanya muingereza mweusi round zote 1-12 alikuwa ni mwenye wasiwasi hatulii sehemu moja.
 
Back
Top Bottom