Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

wakuu ==== hii simba watasajili vizuri kweli kuelekea msimu ujao? Kiungo wa simba Deborah alianza vizuri sana wakati anafika simba unadhani alikutwa na nini?
0 Reactions
5 Replies
455 Views
Kwa maslahi mapana ya soka letu ni vema kukaandaliwa kanuni itakayozui timu zetu hizi kutokuifunga timu mojawapo zaidi ya mara tano mfululizo. Kutokana na ukubwa wa hizi timu hakika zimebeba...
0 Reactions
2 Replies
461 Views
Tutafungwa vibaya na kutolewa kwenye chan,kwa aibu kama vilevile alivyotolewa bakari shimye.Makocha wasio na ujuzi wa uzoefu mnawapaje taifa stars!!!!
0 Reactions
11 Replies
484 Views
Kuna utafiti mdogo nimefanya na kugundua kwa sasa waliokuwa wapenzi wa Simba wengi wameanza kutafakari iwapo walikuwa sahihi kuishabikia timu hii. Hata hivyo kuna watu muhimu wanahusika moja kwa...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
(1) HAKUNA MABADILIKO YA UONGOZI, nilipoona Try again amejiudhuru na Mo dewji kuja kumtambulisha tena kuwa mjumbe hii ilinifanya nione kabisa hakuna serious yoyote bali wajomba wanapumnzishana tu...
19 Reactions
92 Replies
4K Views
GB 64 Sisi Masela Wenzako tumeshabadilika na Kukua sasa mbona Wewe bado tu Usela uko damuni? Nimecheka sana japo umesema Ukweli!!!
2 Reactions
5 Replies
619 Views
Uzembe wa viongozi wetu wa Simba. Leo Balla Conte amesaini Yanga Pendekezo la Fadlu Davids limepuuzwa na viongozi Viongozi wao wanahitaji Kagoma Hakika Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu
5 Reactions
9 Replies
1K Views
These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa. Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu...
15 Reactions
37 Replies
2K Views
Huyu dogo mnaolia lia endapo ataondoka niwaambie msichokijua, ni msaliti namba moja ndani ya timu yetu, nna mengi kuhusu yeye, ngoja nikae kimya t
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Visiwa vya Faroe na Gibraltar ni nchi zilizopo barani ulaya... Hizi ni nchi ambazo hazina mamlaka kamili kuitwa mataifa huru kama ilivyo Zanzibar tu. Gibraltar ni ki-nchi fulani chenye watu...
0 Reactions
7 Replies
457 Views
Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe", Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂 acheni...
0 Reactions
6 Replies
598 Views
Leooo naonaaaa mwendo WA siasa kila kuonaaa JAMANI TUMEHAHIRISHA DERBY mara TATU na watu wamechexa na wameliwa kichwa mnyama MNASHANGAA nn KUHAIRISHA uteuzi haya n mambo ya kawaida EMBU...
0 Reactions
2 Replies
357 Views
Mohamed Dewji ana utajiri wa Usd 2.2 Billion sawa na Shilingi 5.83 Trilioni za kitanzania Kwa hesabu rahisi: 87,000,000,000/5,830,000,000,000 * 100 = 1.49% Hii ni chini ya asilimia mbili ya...
1 Reactions
7 Replies
394 Views
Wadau wa soka Tanzania salami kwenu. Kwa waliofuatilia press mbili , moja ya Mo Dewji siku anaonesha Hundi ya Bilion 20 na press ya Leo ya Semaji Lao Haji Manara watakuwa wameona kitu kinaenda...
24 Reactions
118 Replies
12K Views
Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui. Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi. Mitandao ya kijamii...
1 Reactions
20 Replies
778 Views
Wakuu ==== Habari ya Khalid Aucho imeishia hapa? Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo wa CS Sfaxien, Mussa Balla Conte (21) kwa mkataba wa miaka mitatu hadi Juni 2028. Conte, ambaye pia...
12 Reactions
42 Replies
4K Views
Lipeni pesa za Dube mnajifanya kuchangisha pesa ya tofari kwani mnaujenzi gani? Au makombe yametoboka mnataka kuyajenga, haya tumeshajua hamna ela mmeanza kupitisha mabakuli et tofari la ubingwa...
3 Reactions
9 Replies
655 Views
Ukiachana na kupigwa kalenda ya tarehe husika ya CHAN kuanza nlitegemea kuona mandalizi makubwa zaidi kama lengo kweli lilikua kujitangaza basi nlikua nategemea yafuatayo: 1) Wasanii kutumia...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Ibrahim Masoud Maetsro amewahi kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba, hivyo hakuna shaka anapata habari nyingi za Simba kutoka kwa viongozi wenzake wa zamani, Maestro anapozungumza anaongea...
3 Reactions
7 Replies
665 Views
I salute you kinsmen. Kipindi cha usajili kinapofika tu basi simba ndio huwa wana furaha wao na azam lakini ligi ikianza tu. Yanga wanabebwa GSM anaharibu ligi Udhamini wa team nane Mangungu...
2 Reactions
1 Replies
326 Views
Back
Top Bottom