Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa...
JE UNAIJUA HII VEST YA CATAPULT?
-Kuna vest flani hivi wachezaji wamekua wakizivaa wawapo uwanjani au mazoezini, watu wengi wamekua wakitamani kujua zile ni vest za kazi gani au kwanini huwa...
Si kwa ubaya, ila sisi wahindi especially wa jamii ya ponjoro, tunajulikana zaidi kwa kuchezesha kamari, kutumikiaha watu kwa ujira kidogo na kulalamika tunapata hasara.
Hiyo ni jadi yetu na...
Sawa bhana Kaka yako nikutakie kila la Kheri na naamini huko unakoenda yoyote yule mtakayegombania nae namba hatougua mara kwa mara, hatopatwa na matatizo ya Macho na Wewe safari za kimya kimya za...
Mchezaji tishio wa club ya Simba Elie Mpanzu ameiandikia club hiyo kuomba kuachana nayo baada ya kupata timu nyingine.
Ameikumbusha club hiyo makubaliano ilikuwa ni kusajiliwa kwa mwaka 1 kwa...
Nimeona taarifa juu ya uyu mchezaji Elias Mpanzu ambae Simba ilijaribu kutumia nguvu kumpata ila wakashindwa kwasababu ya ofa kubwa toka ulaya ,kwa bahati mchezaji uyo ameshindwa vigezo vya...
I will be short
kuna card za chana 50 k na kuna 40 billion on the table for simba sc shares. hapo kila mtu ana 800k kila card.
Kama vipi simba tuuze tu, naona dp world na bakhresa wanavizia...
Baada ya kupewa thank you nyingi na wachezaji wake timu ya Simba ni kama wamechanganyikiwa, kuanzia Mwenyekiti wao mpaka mashabiki kila mmoja anakuja na kauli zake.
Hawana tofauti na wale wajenzi...
YANGA MSIMU HUU WA CACL huenda akaanzia hatua ya awali Msimu huu. MSIMU uliopita Orlando Pirates na Pyramid walianzia hatua ya awali lakini Orlando akafika nusu fainali na Pyramid akachukua...
Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) linapenda kuujulisha umma kuwa timu ya taifa ya soka ya Kenya, Harambee Stars, imejiondoa rasmi kwenye mashindano ya CECAFA Four Nations yanayofanyika nchini...
WAKATI zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu kwa wagombea wa katika uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania (SRT), likifungwa rasmi Julai 18 saa 10:00 jioni, jumla ya wagombea 20 wamejitosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.