Emmanuel Adam14
Member
- Jun 19, 2014
- 54
- 100
Mohamed Dewji ana utajiri wa Usd 2.2 Billion sawa na Shilingi 5.83 Trilioni za kitanzania
Kwa hesabu rahisi:
87,000,000,000/5,830,000,000,000 * 100 = 1.49%
Hii ni chini ya asilimia mbili ya utajiri wake. Ni kama mtu mwenye milioni 10 kutoa elfu 150 tu kusaidia timu ya mtaa!