GSM: "Yanga Bingwa"
MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga...
Eti Simba SC kufungwa na Yanga SC mara 5 mfululizo siyo Kosa au Jambo la Kushangaa kwani hata Real Madrid nayo imefungwa na FC Barcelona mara 4 au mara 5 mfululizo.
Pumbavu Wahed zenu wenye hii...
"Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko.
Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai...
Mtasema yote au tutasema yote sijui mara Mangungu mara try again mara tajiri kibyongo Mo Dewji mara rafiki yangu na mtani wangu wa Kiha Kocha Matola mara sijui Mtani wangu mwingine wa Kihaya...
Kwamba ndio italeta usawa kwenye ligi,hapana nakataa. Yapo mengi tu ya kurekebisha yanayokiukwa kuleta usawa badala ya kulazimisha wenzenu wakaungua na jua eti huo ndio usawa.Huo usawa roho...
Kama kuna wachezaji ambao ilituuma kuondoka Simba basi ni hawa wafuatao, Deo Njohole, marehemu Method Mogella ‘Fundi’, marehemu Hamis Gaga Gagarino, Zamoyoni Mogella let alone akina Chuji, Chama...
Klabu ya Simba Sc imetozwa faini ya jumla ya Tsh milioni tatu kwa makosa matatu waliyoyafanya katika mchezo namba 184 wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc uliomalizika kwa Yanga Sc kushinda 2-0...
Hakuna mchezaji yoyote wa kigeni mwenye uwezo wa kumshinda Yahya Zayd, kiungo fundi kabisa wa chini, hakuna hakuna hakuna,
Mkimsajili Yahya Zayd nitaamin mko serious Ila zingatien aliyowaambia...
"Messi ametengeneza njia yake, mimi nitaitengeneza yangu."
Hayo ni maneno ya Lamine Yamal, nyota chipukizi wa FC Barcelona, mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa atavaa jezi namba 10 — jezi maarufu...
Msimu wa 2025/26 unakaribia kwa kuanza, lakini jambo la kushangaza ni ukimya wa mfadhili mkubwa wa Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji). Mashabiki wengi wa Simba wanajiuliza, ni kipi kipya Mo Dewji...
Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala
“Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!”
“Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account...
Wazee,kama kuna mpenzi wa mashindano ya baiskeli, naomba anijuze wapi ya mwaka huu 2025 ni live(king'amuzi gani). Hata Livestream nimetafuta hamna kitu.
Mnajitia sifa kusajili wachezaji kumbe huku nyuma mnadhulumu akina Prince, ni basi tu timu yetu ya Msimbazi haina viongozi ndio maana utopolo wanatamba.
"Niwaombe tu Baadhi ya vijana wenzangu ambao ni Waandishi wa Habari .. Mtu anapokupa stori Yoyote kuhusu yangasc.. Ni Vyema Ukanipigia kwanza ili UBALANCE kisha ndio uandike
Kilichotokea Leo kwa...
Transfer News Live👇👇
Muda wowote kuanzia sasa Kocha wa Al Hilal Florent Ibengé (63) atatangazwa kuwa kocha mkuu wa Azam FC.
Muda huu Ibenge yuko nchini kukamilisha taratibu zote✍️ Maisha ya...
Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi...
Uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ushirikiano wa Serikali ya #Tanzania na #China, mpango uliopo mezani ni mchakato wa ujenzi wa uwanja mwingine wa kisasa ambao Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.