Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yes hili pambano ni kiboko
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Ni kama mtu anayejifunza kuogelea siku meli inazama. Too late!!! Imebainika kuwa uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ulianza kushinikiza Baraza la Michezo la Taifa (BMT)...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu! Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Wapo waliokuwa wakisema kuwa mashindano ya FIFA Club World Cup hayana mvuto. Lakini je, kauli hizo zilianza kabla au baada ya Chelsea kutwaa ubingwa na PSG kupoteza? Ikumbukwe kuwa kupitia...
0 Reactions
7 Replies
860 Views
Nyota huyo wa Barcelona anakabiliwa na uchunguzi huo kutokana na malalamiko ambayo mamlaka imesema imeyapokea kutoka kwa Chama Cha Mambilikimo nchini Uhispania kinachoitwa ADEE. Duru za ndani...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Baada ya Mchambuzi Farhan Kihamu kuandika kuhusu Simba inavyopoteza mapato mengi kwa kushindwa kusajili Wanachama wapya jambo ambalo linasababisha ukata na kukwamisha maendeleo kwenye klabu hiyo...
2 Reactions
7 Replies
839 Views
Ukizungumzia “Sports anchor” yaani muongoza kipindi cha michezo hakuna kama Alex Luambano wa Clouds FM. Jamaa kwanza ni mkongwe sana kwenye Tasnia, ana utulivu mzuri, sio mropokaji. Vilevile...
9 Reactions
13 Replies
845 Views
1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC? 2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji? 3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
"Binafsi nimemsikiliza Tajiri ila sijaona utofauti wa kile alichoongea msimu uliopita na leo. 1. Mo anasema ametoa zaidi ya Tsh 80b, inawezekana ni kweli Ila atwambie na Yeye Simba imemtengenezea...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
# anasema kuwa Bilioni 87 ambazo mwekezaji amesema amewekeza ndani ya Simba ni mara mbili ya thamani ya Wydad Cassablanca( yaani unainunua Wydad na chenji inabaki), lakini ukiangalia mafanikio ya...
3 Reactions
10 Replies
653 Views
Hili ni hoja nzito na ya msingi, hasa kwa mtu anayefuatilia masuala ya umiliki wa vilabu vya mpira wa miguu, na hasa mgogoro unaoendelea kuhusu uendeshaji wa Simba SC. Tuchambue kwa kina: 1...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (Mo), amesema dhamira yake ya kuijenga Simba kuwa klabu bora barani Afrika haijabadilika, huku akibainisha kuwa tayari amewekeza zaidi ya Sh...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari.... Utangulizi Mo Dewji ni mmoja wa wafanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika. Alipoamua kuwekeza kwenye Simba SC, wengi walijiuliza kama uamuzi wake ulikuwa kwa sababu ya mapenzi ya...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
I will be short This is streets news , the manager has no any accomplishments. Why yanga chose him ?? We don’t know .
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Katika soka la Tanzania, pesa imekuwa silaha kubwa katika kujenga na kuendeleza vilabu vya ligi kuu. Katika misimu miwili iliyopita, GSM, mdhamini wa Yanga SC, alidhamini vilabu zaidi ya saba...
7 Reactions
60 Replies
4K Views
1.Hotuba ilikuwa inasubiriwa na wengi ikitarajiwa kukata kiu ya wanasimba lakini haikuwa na jipya saana.Tumeshazoea. 2.Hotuba imeongeza maswali kuliko majibu, billion 87 plus mambo nje ya...
5 Reactions
13 Replies
989 Views
Twiga Stars jana tulipigwa 4-1,ni wazi kabisa kocha wetu Bakari Shimye,kwa sasa inatosha.Tumpe asante yake na tutafute makocha wenye ujuzi mkubwa
1 Reactions
4 Replies
391 Views
Dominic Salamba,anasema Zimbwe kasaini yanga, duh kama kweli simba watalia sana.
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Nadhani hiki kinachotokea Simba kwa sasa sio kitu kigeni kwa waliokuwa wanaifatilia kwa ukaribu utendaji wa viongozi wake kuanzia miaka 3 iliyopita! Kwa wanaokumbuka vizuri kuanzia mchakato wa...
10 Reactions
92 Replies
3K Views
"Kwa hiki kichapo cha jana cha PSG wakulaumiwa ni Mangungu tu. Kwa nini aliwauza Messi na Mbappe? Huyu Ngungus ni wa kunyongwa tu". Ameandika Msemaji wa zamani wa Vilabu vya Simba na Yanga Haji...
1 Reactions
2 Replies
574 Views
Back
Top Bottom