Ifike mahali Mo Dewj aache ulimbukeni, utoto na upumbavu wake. Kama hatoi ushirikiano mfukuzeni na hakuna kumlipa hata 100, tangazeni nafasi kwa matajiri wasio na pesa za mawazo. Si unajua pesa za...
Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi kiungo mkabaji wa zamani wa klaabu ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia ambaye ni raia wa Guinea Moussa Balla Conte.
Nyota huyo alikuwa kwenye midomo ya watu wengi hapa...
Simba haijali mashabiki zake na inawatapeli na kuwaingizia hasara,wakati mwingine kelele anazofanya Ahmed Ally ni kama unafki tu.
* Simba ilileta mchango kwa ajili ya uzio wa uwanja wa...
Meneja wa habari na mawasiliano Ally Kamwe ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa siku ya Jumatatu atabadilisha jina na kuanza kuitwa ELIII baada ya kupewa ushauri na marafiki zake wa...
Baada ya kutumikia Simba SC kwa takribani miaka 11, nahodha wa klabu hiyo Mohamed Hussein ameagana rasmi na Wekundu wa Msimbazi kufuatia mkataba wake kumalizika na kutoongezwa tena.
Mohamed...
Takwimu zake zinaonyesha hakua na nafasi ya kuanza Wala uhakika wa kucheza kwenye kikosi Cha timu yake
Yawezekana warabu walijua huyu conte akicheza game mbili kwa kukamia dhidi ya mnyama Kuna...
Na nimesikitika sana kusikia kuwa baadhi yenu Viongozi wa Simba SC ambao nawaheshimu Personally mkisema kuwa moja ya sababu Kuu ya kutaka kumuacha Nahodha Mohammed Hussein Zimbwe Jr Tshabalala ni...
Wakuu!
Mwanaspoti wameripoti kuwa;
Simba imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa CS Sfaxien, Balla Moussa Conte Ijumaa, Julai 11, 2025.
Kiungo huyo wa ulinzi raia wa Guinea mwenye umri wa...
Unakuta mchezaji anatambuliwa kwa mbwembwe alafu uwanjani hamna kitu au analewa sifa mwisho anajiona bora kuliko wenzake mwisho wa siku kipaji kwishnei.
Timu kubwa nyingi huwa hawana mbwembwe...
Wiki hii hii niliandika Uzi hapa kusema kuwa tunamuonea zaidi Mangungu ila kama kuna Mtu HATARI zaidi Simba SC na ndiyo ANATUUMIZA mno kila tukikutana na Yanga SC kuwa ni Salim Abdallah Mhene 'Try...
Ndugu yenu Mwanongwa Leo nilikuwa napitia pitia hizi mambo .
Imebainika kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo alitoa maelekezo Sera ya Maendeleo ya Michezo ya Taifa iendelee...
Bilioni 87 ukitoa (minus) (Bil 20 za uwekezaji + mapato ya jezi + Idadi ya matangazo ya bidhaa za mo kwenye jezi na gari la simba + udhamini wa m-bet + udhamini wa NBC + udhamini wa Azam + goli la...
Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo...
Wana Yanga SC wasiwanyimeni Amani na Raha huku Wakiwadanganya kuwa ni Sisi tu ndiyo hatupata Ushindi dhidi yao kwa mara tano mfululizo bali hata Wao kuna miaka Walisota mno kutufunga Simba SC na...
Kibu denis anapambania kutoka huko nje aongeze kipato anatokea mchambuzi amekula maharage ya mbeya na kumuita kibu ni msaliti na siyo mzalendo kwa kua tu hajaitika wito wa timu ya taifa
siyyo...
"Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko.
Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai...
Habari mwanaJf....
Ipo hivi ili ushinde milioni 200 za jackpot betpawa ni lazima utumie Bilioni 12,914,016,300
Na ili upate milioni 10 lazima utumie milioni 159,432,300
Ipo hivyo maana yake ni...
Miaka mingi Yanga imekuwa ikisajili kimyakimya bila promo za majigambo na kutishia timu nyingine ila matokeo yake yalionekana uwanjani ambapo wachezaji wapya walikiwasha hasa, mfano Mayele, Aziz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.