fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,673
- 9,247
Tutafungwa vibaya na kutolewa kwenye chan,kwa aibu kama vilevile alivyotolewa bakari shimye.Makocha wasio na ujuzi wa uzoefu mnawapaje taifa stars!!!!
ndugu yangu,kocha wa geita gold,kocha wa namungo mnampa taifa stars!!!!!Yani huyo kocha waga simuelewi kabisa
Namfahamu sana huyo jamaa,,kwanza ni muajiriwa wa jkt na ndio mkurugenzinwa ufundi wa timu za jkt,ni mtu muadilifu sana,natamani jkt wampeleke nje kuongeza ujuzi.Bakary Shime itafikia wakati atakosa kabisa ujasiri wa kufundisha timu za wanaume. Miaka nenda sasa amejitengenezea kahimaya kake kwenye timu za wamama! Sijui ana siri gani na hao viumbe.
Ingekuwa mimi ndiyo kocha wao kwa muda wote huu, ningekuwa nimeshaharibu kitambo tu.
Chakufanya karia akacheze mwenyewe huyu mzee wa endosmentTutafungwa vibaya na kutolewa kwenye chan,kwa aibu kama vilevile alivyotolewa bakari shimye.Makocha wasio na ujuzi wa uzoefu mnawapaje taifa stars!!!!
kwann mkuu?Chakufanya karia akacheze mwenyewe huyu mzee wa endosment
Wewe unaona dalili zozote za mashindano kufana kwa taifa stars?kwann mkuu?
ni kocha ambae analipwa kama kocha kutoka nje ila mshahara anagawana na wakuu fiefuefu,mgunda asingekubaliHivi itokee kwa mfano Hemed moroko na Juma mgunda wote wawe Jobless kwa wakati mmoja.
Je ni Kocha yupi atawahi kupata ofa nyingine mapema ya kufundisha kuliko mwingine?
Jibu ni dhahiri Mgunda yupo marketable kuliko moroko..
Sasa kwann Mgunda awe subordinate kwa kocha moroko?
Akili inaniongoza kubaini kuwa Hemed Moroko ni kocha wa kisiasa..