Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Club ya Simba imeingia mikataba mingi tena minono ya mabillioni toka kampuni tofauti ambayo baadhi ya mikataba iko wazi na mingine sio wazi. Apo chini tuone mikataba na thamani zake. BETWAY:- 20...
5 Reactions
66 Replies
3K Views
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, amesema kuwa katika shamrashamra za kuipamba michuano ya CHAN inayotarajiwa kuanza rasmi...
1 Reactions
8 Replies
597 Views
Kutokana na huu usajili wa hapa tz tutarajie ligi yenye ushindani kwa msimu wa 25/26??
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Klabu ya Simba imemsajili kiungo Mtanzania, Morice Abraham kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Spartak Subotica ya Serbia. Morice (21) alikuwa nahodha wa timu ya vijana ya Tanzania chini ya umri...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni Wilfred, mfanyabiashara kutoka Wilaya ya Temeke. Nilibeti TSh1,900 kwenye mechi 25 (24 kati yao zilikidhi masharti ya Bonasi ya Ushindi) na kushinda TSh25,417,020.10. Ushindi wangu...
10 Reactions
74 Replies
7K Views
Football Kenya Federation (FKF) has unveiled gaming firm SportPesa as the new title sponsor of the Kenyan Premier League starting from the 2025/26 season. The 10-year sponsorship deal is worth...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Jacob Massawe 33, nahodha wa Namungo Fc ya Ruangwa , Lindi amesaini mkataba wa mwaka mmoja kusalia klabuni hapo. Mkongwe huyu amehudumu kwa muda sasa kwenye ligi kuu huku akiwa na kiwango...
2 Reactions
14 Replies
768 Views
Kazi kwenu wachawi toka utoporo
5 Reactions
20 Replies
11K Views
Mijadala mingi inayohusiana na uhamisho wa Feisal Salum kutoka Azam kwenda Simba imejikita kwenye gharama za uhamisho huo ila ukweli ni kuwa kuna sababu tatu kuu zingine tofauti kabisa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Klabu ya simba imekamilisha usajili wa nyota wa kimataifa wa Senegal Alassane Kante anayehudumu nafasi ya kiungo wa ulinzi, akichukua nafasi ya fabice Ngoma ambaye ametangazwa kutokuwa sehemu ya...
2 Reactions
8 Replies
996 Views
Beberu la kihaya ni mjanja sana. Kaomba tenda ya bilion 5.6 kwa mwaka, Yeye kaiuza tenda kwa third party ambaye ni DIADORA (kampuni ya vifaa vya michezo kutoka Italy) kwa bilion 7.9 kwa mwaka...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na...
15 Reactions
47 Replies
3K Views
Miaka 4 ya simba kukosa ubingwa wa NBC Kachukua ngao ya jamii. Kafika fainali CAF. Kafika robo fainali mara 3 mfululizo klabu bingwa Afrika. Kashiriki africa football league mbele ya rais wa...
1 Reactions
17 Replies
777 Views
1. Tukio la Simba SC kuingia uwanjani na jeneza ni kumbukumbu ambayo itaendelea kuwatesa mioyoni mwao – historia haifutiki. 2. Waliingia kwa mbwembwe, jeneza juu ya mabega – lakini...
8 Reactions
12 Replies
767 Views
NBC PL msimu wa 2025/26 inaweza kuanza kutimua vumbi mnamo mwishoni mwa mwezi wa nane au mwanzoni mwa mwezi wa 9 Huku vilabu vikubwa vitatu, YANGA, SIMBA na Azam vikipigana vikumbo ktk...
1 Reactions
6 Replies
528 Views
Ni hoja inayojitokeza miongoni mwa Wadau.! Hasa kipindi hiki ambapo Simba Sports Club imeingia mkataba mwingine mnono na Betway wenye thamani ya Bilioni 20. Wadau wa wasoka Wamekuwa Wakijiuliza...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Kelele nyingi, oohh ligi yetu ni Bora,mashabiki hujaza viwanja. Kujaza uwanja timu ya taifa eti mpaka hamasa, wakenya hawanaga hizo, jamaa wametisha sana hongereni wakenya.
0 Reactions
12 Replies
762 Views
Hata hivyo simlaumu sana kwani niliambiwa alikuwa akiumizwa mno tu Kiushirikina na Mtoto wa Morogoro aliyetuacha.
0 Reactions
2 Replies
343 Views
Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Inaonyesha Yanga msimu huu imeamua kuenzi michezo yote iliyopo katika nembo yao. Baada ya pambano la ndondi la kukata na shoka kati ya Kibwana Shomari na Denis Nkane, sasa hivi klabu hiyo...
2 Reactions
16 Replies
814 Views
Back
Top Bottom