Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwa Wananzengo wenzangu. Kama mnavyofahamu kipenga cha kufungua Michuano ya Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani maarufu kama CHAN kwa mwaka 2025, kinapulizwa leo kwenye ardhi ya Kambarage wa...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Ukiangalia kwa apa kwetu nchini TBC ndo televisheni ya TAIFA,na hii michuano ni mikubwa barani Africa na mpaka Sasa Azam na dstv washatangaza tayari wataonyesha swali ni je TBC wataonyesha hii...
4 Reactions
12 Replies
957 Views
Pyramids ya Misri imeweka bei ya Doła 3 milioni (Sh8 bilioni) kwa timu inayomhitaji mshambuliaji Fiston Mayele katika kipindi cha dirisha hili la usajili. Mayele aliyeongoza kwa kufumania nyavu...
2 Reactions
17 Replies
931 Views
Kufuatia kuondoka kwa Mohamed Hussein Tshabalala pale Simba nafasi ya captain imebaki wazi. Taja jina la mchezaji anayefaa kuwa nahodha mpya wa Simba
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Kivumbi cha Mashindano ya CHAN 2024 kuanza Jumamosi hii, Agosti 2,2025, Tanzania ikifungua dhidi ya Burkina Faso kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku Magwiji wa soka Mrisho Ngasa, Victor Wanyama...
3 Reactions
5 Replies
880 Views
Unaupa asilimia ngapi usajili huu wa Simba sc kuelekea msimu mpya? Sajili zilizotiki hadi sasa Rushne Kante Abraham Semfuko Sowah Soma Pia: Husein Massanza: Ukimtaka Sowah njoo na Tsh. Bilioni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Shabiki wa Man City unayedhani Simba na Yanga kukosa viwanja ni dhambi jitafakari. Chama lenu halina uwanja Etihad unamilikiwa na nanispaa ya jiji la Manchester
1 Reactions
4 Replies
741 Views
Jana nilikuwa namuangalia Patric Nyembela, mtangazaji wa azam akimuhoji Ahmed Ally, kwenye night gala ya Chan. Kwenye mahojiano hayo, alifanya rejea kwamba kuna mtu mmoja huko Iraq alikuwa na...
6 Reactions
4 Replies
584 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Nimeipata kwa Micky wa Ghana. 🚨 Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika! 🌍 ✅ Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu! 🎟️ Nafasi 3 zaidi zitakwenda...
10 Reactions
43 Replies
2K Views
Inaelezwa kuwa, Simba imekuwa ikimfuatilia Ecua kupitia michuano ya Kombe la Shirikisho ya msimu huu iliyoishia robo fainali kwa kutolewa na RS Berkane ya Morocco waliobeba taji kwa kuizidi ujanja...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi watumishi Nimemaliza Kuwa hatutaki lawama hapo badae LONDON BOY
3 Reactions
5 Replies
494 Views
Yaani kununuliwa tu hiyo Laptop na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ndiyo umeamua sasa kuwa Mnazi na Mtu wa Hovyo hapo Crown FM?
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Niko nimekaa naangalia eti mnaita boxing ..huu uchafu ndio boxing ? Hata anayeshinda anashangaa ameshindaje, anatangazwaje mshindi. Wakati natafakari hayo yaliyonishangaza, picha ya Hassan...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2025/2026 inatarajiwa kuanza rasmi Septemba 16, 2025, ambapo mashabiki wa soka nchini watashuhudia tena ushindani mkali miongoni mwa vilabu vikubwa na vidogo, huku...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Sasa nyie Majirani zangu KMC FC huyo Kocha mnayemtambulisha leo hii Marcio Maximo ana jipya gani hasa la Kimpira?
1 Reactions
10 Replies
707 Views
Kwanini CHAN 2024 na si 2025. Ratiba ya kalenda ya caf huwa ni kila baada ya Miaka miwili, HII ni chan ya 8. Haijalishi huchezwa wakati upi MWAKA uhesabiwa kwa kufatana baada ya miaka miwili. Chan...
0 Reactions
3 Replies
442 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kwanini Nasema Azam au Simba mmoja wapo atakuwa Bingwa Msimu huu? 1.Kocha Fadlu Davis amekuwa kocha wa Simba huu unaelekea msimu wa pili;mazingira ya...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania kuwakaribisha Wageni wanaokuja kushiriki katika Mashindano ya CHAN Barani Afrika yatakayofunguliwa kesho August 2 kwa kuhimiza Utulivu...
1 Reactions
3 Replies
435 Views
Wamejikaza sana mpaka Leo wamepost video wakichana picha ya Eng Hers, Ni wazi kabisa jamaa kawatesa mno na amewakaa mno vichwani mwao maana toka jamaa atue Yanga Simba SC hawajawahi kujua utamu...
3 Reactions
10 Replies
896 Views
Gari aina ya Tata liliobeba mashabiki wa mpira kutoka Mwanza kwenda Dar kuisapoti Taifa Stars michuano ya CHAN limeketetea kwa moto baada ya kutokea hitilafu. Ajali hiyo ya moto imetokea ghafla...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom