Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nmeona ingizo jipya la huyu Kouma (tamka K with U) je mnamwonaje? Anaweza kutufikisha mbali? Maana tayari kuna team Kouma imejipambanua ikimpigia debe na kutangaza jersey yake mgongoni na jina...
1 Reactions
12 Replies
896 Views
Timu zetu za mpira zinaongozwa kiujanja ujanja sana sio sawa hata kidogo kidogo Timu zinasign mikataba ya mabilioni ila wanachama hawaambiwi matumizi- NIKIWA RAIS KUPITIA BMT NI LAZIMA KWA TIMU...
3 Reactions
20 Replies
880 Views
Simba wamemtambulisha rasmi Rushine De Reuck. - Nyota huyu wa kimataifa wa Afrika kusini na klabu ya Mamelodi Sundowns anakuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Simba...
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Mdogo mdogo tunatoa vyombo vya kiulayaulaya. Niliwahi kuwaambia Italy ndiyo Mecca ya fashion na kamwe hawatoi vitu vibovu. Baada ya kuwaonjesha jezi moja tu tena imevaliwa na mchezaji mmoja, nchi...
2 Reactions
7 Replies
760 Views
Jezi Kali halafu mseme ya mechi za pre season..hayo matusi aise...tunaomba jezi ya kucheza ligi kuu inayokuja basi inatakiwa iwe kali zaidi ya hizi tena mara Saba ama zaidi tofaut na hapo zikiwa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kamati kuu umegoma kulipitisha jina la Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa Eng Hersi Said kugombea kupitia CCM Jimbo la Kigamboni, Shafii Dauda akipita huko Jimbo la Temeke Sasa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Real Madrid wamemkabidhi rasmi Kylian Mbappé jezi namba 10, iliyokuwa ikivaliwa na gwiji Luka Modrić, ambaye amejiunga na AC Milan baada ya kuhudumu Santiago Bernabéu kwa zaidi ya miaka 12. Hatua...
3 Reactions
6 Replies
892 Views
"Katika uongozi wangu hakuna shabiki aliyewahi kusema anahitaji katiba, kila shabiki alikuwa anahitaji furaha tu." "Vivyo hivyo mpaka sasa mashabiki wa Simba wanahitaji furaha bila kuhimiza...
12 Reactions
52 Replies
2K Views
Nikiwa Rais kutajengwa world-class training ground zitakuwa 30 na zitakuwa zinatumiwa na vilabu vya mpira wa Tanzania, na vilabu vikubwa kama real madrid, Barcelona, man City, arsenal et.al...
5 Reactions
77 Replies
3K Views
Nikiwa na akili zangu timamu natangaza kuihama hii timu isiyojielewa naepuka kuwa mjinga Kwa kuishabikia hii timu wakati wenzetu Yanga wanatambulisha vifaa vya kazi sisi tunahesabu hasara za...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Shabiki wa Simba SC adai App ya klabu imejam kutokana na wingi wa watumiaji wakisubiri utambulisho wa nyota mpya usiku huu.
0 Reactions
4 Replies
696 Views
Habari ndio hiyo, Mangungu na Hersi wamepigwa chini Simba oyeee
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kocha rhulan mokwena akihojiwa wiki kadhaa zilizo pita, ALIDAI KUWA Kuna KLABU Toka afrika mashariki ilimfuata akakataa. KLABU Haina miundo mbinu hata uwanja WA mazoezi TU ni mtihani Nikajiuliza...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Nahisi kama vile ni mzee sana kumudu kukimbizana na vijana, au macho yangu yananidanganya?. === Miaka kadhaa tangu aondoke kwenye ramani ya soka la Tanzania, kocha raia wa Brazil, Marcio Maximo...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Karibu Simba SC, Rushine De Reuck. Kwa taarifa zaidi tumia Simba App, Simba Mastori au Instagram Subscriptions. #NguvuMoja
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimecheki mkono hapa nilidhani masihara Kumbe jamaa wapo serious kweli
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Engineer kapigwa chini na wajumbe,asije akaisusia Yanga,naona hii itamharibu kisaikolojia kwenye kuongoza club,huwezi ukachukua tu kadi ya chama na kuchukua fomu ugombee ubunge,wajumbe sio wajinga...
2 Reactions
16 Replies
789 Views
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuna uwezekano wa klabu kuwauza nyota wake watatu, Kibu Denis, Che Malone na Edwin Balua. "Mambo yasipoenda sawasawa watarudi kuja kuitumikia mikataba...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Klabu ya Simba ana Jambo kubwa zaidi kuwahi kutokea Afrika, leo Wanasaini dili na mdhamini Mkuu BetWay baada ya M-Bet kusitisha Mkataba wake. Wakati huo huo wametangaza kuwa Kikosi chao...
7 Reactions
43 Replies
6K Views
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said, amesema "Kama kuna jambo silipendi, ni kutoa furaha za watu. Najua kuna ndugu zangu ambao ni Simba na mimi ni Yanga. Bahati mbaya taasisi ambayo...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom