CHAN Kenya all Tickets sold out, Tanzania mhhhh!!!!

CHAN Kenya all Tickets sold out, Tanzania mhhhh!!!!

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,889
Reaction score
2,293
Kelele nyingi, oohh ligi yetu ni Bora,mashabiki hujaza viwanja. Kujaza uwanja timu ya taifa eti mpaka hamasa, wakenya hawanaga hizo, jamaa wametisha sana hongereni wakenya.

1000520748.jpg

1000520747.png
 
Kelele nyingi, oohh ligi yetu ni Bora,mashabiki hujaza viwanja. Kujaza uwanja timu ya taifa eti mpaka hamasa, wakenya hawanaga hizo, jamaa wametisha sana hongereni wakenya.
Tunaomba chanzo cha hii taarifa
 
Tanzania wanachojua ni thimba na yanga tu hakuna cha ushabiki mwingine
 
Ni kweli ILA wakenya hawahitaji hamasa KWENDA viwanjani HAPO ndo wananikosha

Kwishaaa
 
Inasemekana wabongo tuna maisha mazuri kuliko wakenya ILI HALI WATU wametegeshea tiketi za bure

Kwishaaaa
 
Mkuu wabongo ni zimamoto aka wazee wa deadline, unaweza kuona sasa hivi ni kama hawana habari, lakini siku ya mechi ghafla ukashangaa kwa mkapa pametapika
 
Back
Top Bottom