Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ligi Ndio Zimekaribia Kurudi, Kuna Ambao Timu Zao Zinawafurahisha Katika Usajili Na Ambao Hadi Sasa Timu Zao Zinasajili Lakini Wachezaji Wa Ndondo. Kuna Timu Zinasajili Lakini Hauoni Kama...
1 Reactions
17 Replies
808 Views
Unadhani kwa sajili hizi wanazoendelea kufanya yanga,zinawaeza kuwa na manufaa makubwa kuelekea mashindano makubwa ya kimataifa ngazi ya vilabu?
2 Reactions
13 Replies
864 Views
Unajua nchi hii kuna mambo ya ajabu sana. Siku hizi mbili tatu nimewasikia maafisa habari wawili wa vilabu viwili tofauti wanatamka mbele ya vyombo vya habari kuwa Simba haina hela! Nimemsikia...
2 Reactions
21 Replies
974 Views
Mwonekano wa Uwanja wa Benjamini Mkapa 'Lupaso' upo tayari kwa ajili ya michuano ya CHAN2024 Agosti 2, michuano ya CHAN itaanza kwa mara ya kwanza kutimua vumbi katika ardhi ya Tanzania. Mechi ya...
0 Reactions
8 Replies
666 Views
Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi. Bwana Patrick Simon ndiye aliyekuwa mkuu Wa Kitengo alifeli sana Kwenye kesi nyingi za Yanga...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Msemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka...
13 Reactions
128 Replies
5K Views
Sijawahi kufika karatu kwa siku za karibuni.Timu za taifa 3 zitakuwa hapo kucheza michezo ya cecafa,naulizia kwa mliopo huko,je kuna hoteli zenye hadhi kupokea ugeni mkubwa huo?
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu, PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Wataishia kumfukuza babu wa watu,mpira wa kisasa atauwezea wapi?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mshindi mara tano wa Ballon d’Or Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa mpira wa miguu kufikia utajiri wa USD Bilioni kwa juhudi zake binafsi katika historia ya mchezo huu. Mwaka 2020...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa aliye angalia pambano la Mfaume dhidi ya mmalawi atakuwa alipigwa na butwaa kwa kile kilichoamuliwa na majaji. Kwa kuwa tunapenda uzalendo kuliko uhalisia basi tusahau maendeleo ya mchezo wa...
2 Reactions
0 Replies
316 Views
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limepanga kufanya droo ya hatua ya awali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2025-2026 jijini Dar es Salaam, Tanzania. CAF imeamua...
0 Reactions
4 Replies
887 Views
Mwenye nae aliwaambia pamoja na kwamba Mimi ni Mwenzenu na nawapenda mno halafu nimeshawapeni sana Wacherzaji wazuri kwa bure bure ila kwa huyu Jonathan Sowah siwapeni hadi mniingizie Shilingi...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
I wil be short Moja ya hatua ambayo inaweza kuwa na manufaa makubwa kwa Yanga SC kwa msimu wa 2025/26 ni kurudi kwenye uwanja wa Azam Complex. Ukiwa ni uwanja wenye miundombinu na mazingira...
0 Reactions
4 Replies
548 Views
Wakuu, msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026 unakaribia kuanza huku joto la soka likizidi kupanda. Kila shabiki ana matumaini, kila timu inajiandaa, lakini swali ni moja, nani watatamba...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mashindano ya CHAN 2024, yanayotarajiwa kuanza rasmi Agosti 02, 2025 katika Uwanja...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Mbeya City Fc
0 Reactions
1 Replies
389 Views
Venue zinazotumiwa na VITASA ni mbovu mno kuna mda unajiuliza hii itaendelea mpaka lini Fahamu watanzania wengi sana wanapenda haya mashindano ya ngumi ila venue zake ni mbovu sana ziko local, na...
5 Reactions
9 Replies
460 Views
Back
Top Bottom