Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Clarence Seedorf mchezaji wa mpira wa zamani uholanzi amedilisha dini na kuwa muislam wa madhehebu tukufu ya Shia. Amemshukuru Sana mke wake kipenzi Sophia Makratti mwenye asili ya Iran kwa...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari mwana jukwaa la sport. Nilikua nasoma farewell ya Aucho aliyowaandikia Yanga..nilivyofika sehemu anatoa pongezi nikakutana na jina la Antony Mavunde. Na hii si mara ya kwanza huyu jamaa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
⚽Manchester United alfajiri ya leo kwenye mchezo wake dhidi ya Everton wametoka sare ya 2 - 2 na kufanikiwa kuchukua kikombe cha kwanza Cha premier league summer series nchini Marekani.
4 Reactions
11 Replies
618 Views
Binafsi nimeanza kumfuatilia Feisal kama mchezaji tangu akiwa JKU, na kwa kipindi Fulani kama ilivyo kwa wanamichezo wengi ,"Zanzibar finest" aliwahi kuwa katika ubora wa maisha yake (prime...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Timu nyingi zinasajiri wachezaji kwa kuangali performances zao viwanjani, na hapo ndio neno la usajiri ni kamari linapoanzia. Timu inayofanikiwa kwenye usajili ni ile inayozingatia uwezo wa...
1 Reactions
7 Replies
549 Views
Mshambuliaji wa Simba SC Jonathan Sowah ameifollow page ya Yanga kwenye ukurasa wake wa Instagram , Sowah amefollow kurasa 768 miongoni mwa hizo kurasa ni pamoja na Klabu ya Yanga Jonathan Sowah...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili. Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Naaam!! kila ligi msimu inapoanza na kuisha lazima kuwe na malalamiko ya kuonewa haswa kwa hizi timu za kariakoo (Simba na Yanga) ni muda sasa wa Tff na Bodi ya ligi kushughulika na hizi lawama au...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Tanzania imethibitisha kuwa ni timu imara na imedhamiria kupambana na kushinda kombe la CHAN. Tumefurahishwa sana i jinsi wachezi wetu wote walivyo cheza kwa bidii na maarifa na kupata ushindi wa...
5 Reactions
15 Replies
843 Views
[emoji682]️ Hii teaser ya Simba ambayo inaonyesha picha/kielelezo cha Rais wa @yangasc Eng Hersi Said imedhihirisha kwamba Hersi [ @caamil_88 ] anaishi kwenye vichwa vya watu wa Simba, wanamuwaza...
2 Reactions
9 Replies
756 Views
Taarifa Kamili hii hapa ================= Rais wa Kenya, William Ruto ameahidi zawadi ya shilingi za Kenya milioni 600 [TZS bilioni 11.79] iwapo Harambee Stars itatwaa ubingwa wa Michuano ya...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Sowah ni mchezaji mzuri, katika kuendelea kudhihirisha kile alichonacho, anahitaji kurekebisha vitu vichache tu Sowah, anahitaji kutengeneza kitu kinaitwa Nidhamu, katika kujenga uwezo wa kipaji...
0 Reactions
6 Replies
512 Views
Wadau hivi ni kweli kwamba Yanga walivunja mkataba na Sheria Ngowi baada ya makubaliano na kampuni ya Nike kutiki? Nikweli Nike ndiyo watatengeneza jezi msimu huu?
9 Reactions
29 Replies
3K Views
I will be short our current president is cause of failures of chan and afcon to host more games in tanzania. kenya is hosting twice the number of games as us. With an unvisionary president for...
0 Reactions
5 Replies
467 Views
Kwa Mfano kwenye Jiji la D'Salaam kila Mtaa umefukuliwa au umewekwa vifusi, haipitiki, huku Mahoteli yote yakiwa yamejaa vumbi kutoka na shughuli za Ujenzi wa mabarabara usioisha. Njia zote za...
13 Reactions
67 Replies
2K Views
Tundaman kwenye Simba day aliingiza jeneza iliyokuwa na zeruzeru ndani ili kumdhihaki Manara ambaye alihamia Yanga Jeneza ni mauti baada ya tukio hilo kweli hadi Leo Simba wapo kwenye mauti, Toka...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Ngoja leo niongelee kidogo timu yangu ya zamani ya Simba SC. Hapo nyuma niliwahi kusema Jonathan Sowah siyo chaguo sahihi kwa Simba na nitakupa sababu kubwa tatu. 1. Sowah ni mzee na hajawahi...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Wakuu! Leo Agosti 2, 2025 pazia linafunguliwa rasmi kwa Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024, ambapo Tanzania itavaana na Burkina Faso katika mchezo wa...
8 Reactions
88 Replies
9K Views
Kitendo cha kumposti Hersi na kuandika upumbavu mtupu eti abaabaa! Ni ishara tosha kuwa akili ni za kitoto tena mitoto isiyo na akili. Aliyefanya hivyo anataka habari gani itrendi? Je habari ya...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Michuano Gani ambayo Haina shamrashamra, michuano inafanyika kwenye nchi ambayo watu hawana muda, marketing iliyofanyika ni ya kiwango Cha chini sana, Yan mtu anaetoka ulaya akija hawez kujua...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom