TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ngao ya Jamii Kuzindua Rasmi Msimu Mpya wa Mashindano ya TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kuwataarifu wadau na mashabiki wa soka kuwa mechi...
Sitaki nirejee nukuu ya Rage alivotupatia jina letu pendwa.
Sisi wanasimba Leo tumebubujikwa na machozi ya furahia kama Mwashamba kutoka jukwaa la siasa baada ya ushindi fake wa Wallace Karia...
Nimetengeneza kundi la wasap nimewaunganisha watu 100 na kuwaomba sana ijumaa mtoko ni Lupaso tu not otherwise.
Chonde chonde mtanzania Morroco atakufa kWa umoja na mshikamano
Waganda wako juu...
Simba SC imefungwa mabao 4-3 na ENPPI SC ya Misri katika mchezo wa pili kirafiki uliochezwa Jumapili, Agosti 17,2025 kujiandaa na msimu mpya wa 2025/2026.
Mabao ya ENPPI SC mawili yalifunwa kwa...
Wakuu hili kitendo kimenishtua sana Mimi kama mdau wa soka no 1 Africa
Professionally Ahmed ally ni mkuu wa kitengo Cha habari Cha wanasimba so why timu iwe misri yeye awe bongo??...nani...
Achana na magoli ya Pacome,Boyeli na Nondo,achana na kasi ya umeme ya Ecua na Chikola ila naomba tuzungumzie “Romain Folz Ball”
Mechi ya kwanza ya ushindani ya Folz wote tumeiona,anataka timu...
Mashindano ya Chan ambayo ni mashindano yanayohusisha wachezaji wnaocheza ligi za ndani kwa nchi za Africa
Kwa nchi za Africa Misri ndio nchi yenye ligi yenye ubora kwa miaka mingi
Lakini cha...
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia...
Sio habari nzuri na huwa sipendi kutia watu matumaini
Naandika kile nachokiamin
Naoona final ya chan
Tanzania vs 🇰🇪
Ft
Kenya anakuwa bingwa
All dbest
Mawazoo haya n yangu hayafungamani na...
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Bayern Munic.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...
Kupitia mitandao yao ya kijamii, Yanga imetangaza kwamba wamepata misiba miwili ya mchezaji wake mmoja na kocha wao kupoteza wazazi wao.
Katika kumbukumbu zangu za haraka, hii ni baadhi ya misiba...
"Ukisema kwamba Simba kufungwa isiwe presha kubwa kwasababu wapo pre season sio kweli, hata ukiwa pre season unatakiwa kushinda kwasababu moja ya vitu ambavyo unatazama pre season ni pamoja na...
Habari JF, habari wapenzi wa Fantasy football.
Msimu wa ligi kuu Uingereza 2025/26 (EPL) unaanza tarehe 15/8/2025 , jiunge na JamiiForums Fantasy League uoneshe umahiri wako katika kupanga...
Ushauri wa bure kwa makocha pamoja na wachezaji wetu wa Taifa Stars, pateni muda kisha tizameni lwa umakini mechi iliyo pogwa usiku huu kati ya jirani zetu Waganda na Wajukuu wa Mandele mtajifunza...
Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football:
Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu?
Je, FIFA...
Mlionywa mapema sana kuwa Msikurupuke ila kwakuwa mnajifanya nyie ni Wakubwa na mna Hela mkadharau sasa mmeshaumbuka na mnajuta kuingizwa Kingi kumsajili Mchezaji mbovu Conte.
Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans, Mzee Mangara Tabu Mangara, (mwenye kofia), alikabidhi hundi ya shilingi 10,000 kwa Mzee Omari Londo, Mwenyekiti wa TANU wa mkoa wa Dar es Salaam mwaka 1974...
Je ni Yanga, Hersi Saidi au GSM? unadhani ni kwanini?
Taarifa zingine zinadokeza kwamba Timu ya Yanga haina hata Akaunti ya Benki, hata kama wanapaswa kulipwa hizo hela watawekewa wapi au...
I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.