Simba day tuwaalike Yanga, Ila tusiweke kombe

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,011
Reaction score
32,907
Mzee wa VAR Mchome Mapovu anasema Simba Day waalikwe Yanga lakini wasiweke Kombe maana watawaaribia shughuli Yao.

Ili Simba wajipime fuleshi na kikosi chao kabla ya ngao ya jamii ni shart kualika Yanga kwenye Simba day

Je una maoni Gani kuhusu hili ....mwanasimba mwenzagu
Screenshot_20250816-201159.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hata simba bila kumfunga Yanga anahisi hakuna cha maana alichofanya.

Msikilize semaji hapa chini.
View attachment 3443722
Kivyovyote tu binafsi naipenda simba , kwa sababu inanipa raha kimataifa , hata ikichukua ligi au kuifunga yanga binafsi isipofnya vizuri kimataifa hainishawishi kabisa.
 
Kuna kipi cha ajabu huko kimataifa ambacho umefanya Yanga hajafanya?
 
Mzee wa VAR Mchome Mapovu anasema Simba Day waalikwe Yanga lakini wasiweke Kombe maana watawaaribia shughuli Yao.

Ili Simba wajipime fuleshi na kikosi chao kabla ya ngao ya jamii ni shart kualika Yanga kwenye Simba day

Je una maoni Gani kuhusu hili ....mwanasimba mwenzaguView attachment 3443673

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyu mbwa wa yanga bado anajilengesha simba tuu? Aangalie atatiwa mimba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom