Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hongera sana kwa wana haki popote pale nchini Tanzania. Leo ilikuwa ni Haki vs Dhulma na uonevu. Upuuzi na ushamba umeshindwa ila endeleeni kukaza mafuvu.
20 Reactions
58 Replies
2K Views
Nmejipatia tsh 1,200,000 baada ya kubet na jamaa yangu mmoja mwana CCM ambaye aliniambia leo piga ua T. Stars inashinda. Iwe isiwe. Nami nikasema haitoshinda. Nimefanikiwa kushinda mimi. Tsh...
4 Reactions
3 Replies
411 Views
1. Kiungo Yussuf Kagoma nawashauri Simba watafute kiungo mwingine wa chini vinginevyo msimu unaokuja mtakuja kulia, mechi na RS Berkane alikula red card akawakosesha ubingwa huku kwenye CHAN mechi...
28 Reactions
66 Replies
4K Views
Umofia Wadau! Group A: i). Kenya ii). Morocco Kenya itacheza na Madagascar hapa Kenya ina uhakika wa kucheza nusu Fainali. Ila kwa upande wa Timu yetu ambayo kiukweli Coach hajui kupanga...
14 Reactions
62 Replies
3K Views
Rais Samia kesho jioni nenda kambini kwao,ukawatie hamasa vijana ili wacheze kufa kupona na kuifunga Morocco.Vijana wakikuona kambini kwao,watapandisha mori sana
0 Reactions
16 Replies
644 Views
Umofia wana Sports ! Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo...
0 Reactions
11 Replies
783 Views
Tunakuomba mnyazi Mungu, ulisema atakayekuomba utampa, mimi mtanzania nakuomba utujaalie ushindi leo dhidi ya Morocco ili tuingie nusu fainali. Kila jambo tumelifannya kwa ajili ya nchi leo...
1 Reactions
10 Replies
434 Views
Hii timu(kenya) haina wachezaji tishio sana lakini ukiangalia kuna kitu wanakionyesha , jamaa wapo kundi la kifo lakini wanaonesha upinzanI mkali sana. Huyu atatufaa sana kuelekea Afcon 2026
5 Reactions
22 Replies
1K Views
kama ulikuwa hujui moja ya kipengele cha simba kumchukua souwah wakikutanaaaa na Yanga haruhusiwi hata kukaa bench siriyakoooo..... d ur hmwk
0 Reactions
8 Replies
749 Views
Kwa kuangalia form ya timu na historia ya hivi karibuni, hizi ndizo nafasi zinavyoonekana kwa robo fainali za CHAN 2025: 🔥 Robo Fainali 1. Kenya 🆚 Madagascar Kenya wako kwenye kiwango kizuri...
2 Reactions
8 Replies
974 Views
"Morrocco have influence in CAF to manipulate the match scheduling and officiating" Hayo ni maneno yaliyotamkwa na aliyekuwa kocha wa Tanzania Adel Amrouache baada ya mchezo kati ya Morrocco na...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Namkubali na Namheshimu Kipa anayedaka sasa, ila kwa Ujuzi wangu nina Mashaka nae tu hasa katika Penati zikitokea.
3 Reactions
8 Replies
648 Views
MPENSWA KTK BWANA REFR DAHANE KWA NIABA YA WAPENDA MPIRA WOTE NCHII HUU TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI UNAPOENDA KUCHWZESHA MPIRA WA LEOO TAIFA LINAKUTEGEMEAA HUNA UBAYA NDUGUU WANAYANGA NA SIMBA...
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Vijana mmeona chakula cha role model wenu? Ronaldo amepost chakula chake kinachomfanya awe hivi mnavyomuona? Sasa igeni na hii!
14 Reactions
65 Replies
4K Views
Mapema mwaka huu kuliinukantaarifa kuwa Kuna Waghana waliokiwa Singida Bug Star wamepewa Uraia ! Hivi Kati Yao hakuna hata Moja aliyetufaa kucheza CHAN ? Naona Timu yetu ina First Eleven ,kweli...
0 Reactions
6 Replies
710 Views
Sijui niongeze volume Mwamba alipata redkadi crdb conf cup Nawaza mambo kadhaa ataruhusiwa kucheza ngao ya jamii Iwapo hatoruhusiwa Simba mmejipangaje Nukuu ya leoi;::
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Tusidanganyane na tusiwe Wanafiki wachezaji wenye Kucheza hizi Mechi za AFCON kiushindani ni wa Yanga, Simba na Azam tu pekee na kwa hao wengine tunabahatisha tu. Mpira wa sasa unahitaji Exposure...
3 Reactions
8 Replies
855 Views
Habari wadau. Mashindano ya chan yanaendelea. Ila uhalisia yanachosha wachezaji wazuri na tegemezi wa club zetu. Mamelodi sundowns, orlando pirates, kaizer chiefs zimegoma kuleta majembe yao...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Ligi Kuu ya England itaendelea leo kwa mchezo kati ya West Ham na Chelsea majira ya saa 4:00 usiku (EAT), ikiwa ni mchezo wa raundi ya pili kati ya raundi 38 zinazotarajiwa kuchezwa msimu huu...
1 Reactions
5 Replies
779 Views
I will be short Folz sio Kocha wa quality team Kama yanga . Kama vipi apewe mizogo yake mapema Asepe huyu sio Kocha wa quality team Kama Yanga . After few minutes huyu sio Kocha Folz out
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Back
Top Bottom