Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

I will be short Folz sio Kocha wa quality team Kama yanga . Kama vipi apewe mizogo yake mapema Asepe huyu sio Kocha wa quality team Kama Yanga . After few minutes huyu sio Kocha Folz out
7 Reactions
38 Replies
2K Views
I will be short Azam fc hata aje gardiola itakuwa Azam FC tu, tatizo la azam fc ni kwa kuwa ni azam fc, no passion no plans no pressure , get paid return home Today they lost 1 nil As Kigali 1...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Miongoni mwa vitu ninavyovishangaa ni hiki kitendo cha kukubali mchezaji kugawa jezi yako yenye jasho lako kwa mchezaji mwenzako kwa kigezo tu cha kukubali uwezo wako. Kiuhalisia miongoni mwa...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Mzee wa VAR Mchome Mapovu anasema kukutana na Yanga mapema kwenye ngao ya Jamii itawavuruga sana huku wakimkosa Jonathan Sowah. #scopeboii #ScopeMedia Simba wanasema bado wapo wanajenga kikosi...
7 Reactions
17 Replies
832 Views
Tanzania tumepata bahati ya ku host mashindano Makubwa ya CHAN 2025 pamoja na Kenya na Uganda Kwa wenzetu Kenya tunaona viwanja vinajaa na TV zinawekwa kwenye maeneo ya wazi, Watu wana hamasa mno...
1 Reactions
4 Replies
609 Views
Habari! Kwa mtu aliemfatilia Jamaa Kwa hizi games zote alizocheza Kwa playing style ya Simba na anavyocheza yeye hafai kabisa na soon mtakuja kukubaliana na Mimi. Ni Mzito Balaa na anachoka...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
'I congratulate Kenyans who've bought Tanzanian tickets', CS Murkomen joins CHAN banter Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has become the latest high-profile figure to wade into the...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
TUPE R A HA YANGA DEHANE WETUUU KARIBUHUH SANAAA BWM ULITUKIMBIA UKAENDA AMAN NW TUNAKUKARIBISHA SANAA SANAAA
0 Reactions
6 Replies
893 Views
Maana ya Betting Betting, au kamari, ni kitendo cha kuweka dau au kubashiri matokeo ya tukio fulani, mara nyingi matokeo ya michezo, kwa matumaini ya kushinda fedha au tuzo nyingine. Betting...
1 Reactions
8 Replies
13K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewazadia Taifa Stars shilingi milioni 200 kuelekea mchezo wa robo fainali dhidi ya Morocco, utakaochezwa Ijumaa, Agosti 22, 2025...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Timu kubwa Tanzania na Africa inaendeleza utamaduni wa kufanya tamasha kubwa, maarufu kama wiki ya wananchi Shughuli zitakuwa 1. Kutambulisha wachezaji wote na bench la ufundi 2. Kuonyesha...
5 Reactions
65 Replies
7K Views
Hello Taifa Stars Fans ! Wadau tuna tukio Zito na zuri na uzuri wake ni kwa sababu ya kumtupa Morocco nje ya CHAN2024. Binafsi nimeandaa Tickets 1000 plus Usafiri kwa ajili ya mashabiki lengo ni...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Kwa asilimia kubwa wachezaji wa Simba na Yanga waliopo katika kikosi cha Taifa Stars kinachoshiriki michuano ya CHAN huenda wakaukosa mchezo wa ngao ya Jamii utakaopigwa Septemba 16 Soma pia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hizi nchi za Afrika Mashariki ziache kulazimisha ubingwa kwa njia za panya. Katika mechi ya Uganda vs South Africa, goli la kwanza la Uganda lilikuwa clear offside. Inakuwaje mshika kibendera...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Katika zama hizi za taarifa za haraka, tumeshuhudia tabia inayozidi kuenea ya “kuiba” mafanikio ya watu kwa misingi ya asili ya wazazi, badala ya ukweli wa uraia na uwakilishi halisi. Mfano ni...
2 Reactions
15 Replies
821 Views
1. Nani aliyekuambia kuwa Simba SC ikitangaza Kufungwa Mechi zake za Pre Season huko Misri ni vibaya kwa Mashabiki? 2. Kama umesema Watu wa Kitengo cha Habari Simba SC mmekubaliana msitoe Taarifa...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Haya Tukutane kwenye michuano ya wadogo, muwachape kama mnavyojiita wakubwa.
2 Reactions
5 Replies
979 Views
Kama inanvyosemekana Kwamba wananchi ndo icon/ deep state ya soka hapa nchini .......Baada ya sowah kufanya ujinga kwenye urambulisho wa makolo Maazimio yaliyotoka ni kuwa ....sowah hata...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Swali: Je Nchi zinahiari ya kushiriki mashindano ya CAF? Maana Hawa Jamaa baada ya Kutolewa na Uganda wanatapatapa eti walipeleka kikosi Cha 3 lakini nacho kimeonewa. Ukweli uko wapi...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Tukutane tarehe 16 Septemba ni Simba SC vs Yanga SC
1 Reactions
11 Replies
831 Views
Back
Top Bottom