Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,027
- 33,003
"Ukisema kwamba Simba kufungwa isiwe presha kubwa kwasababu wapo pre season sio kweli, hata ukiwa pre season unatakiwa kushinda kwasababu moja ya vitu ambavyo unatazama pre season ni pamoja na kutazama flow ya timu kwenye kutengeneza nafasi na namna gani timu inavyoweza kufunga magoli lakini pia flow ya timu ni namna gani inaweza kudefanse na kuhakikisha kuwa timu hairuhusu mabao"
Mchambuzi Alex Ngereza akizungumza kupitia Kipindi cha Michezo cha TV 3
#scopeboii #ScopeMedia
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mchambuzi Alex Ngereza akizungumza kupitia Kipindi cha Michezo cha TV 3
#scopeboii #ScopeMedia
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app