Mauzo ya Mzize atakayelipwa hela ni Nani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,520
Reaction score
284,004
Je ni Yanga, Hersi Saidi au GSM? unadhani ni kwanini?

Taarifa zingine zinadokeza kwamba Timu ya Yanga haina hata Akaunti ya Benki, hata kama wanapaswa kulipwa hizo hela watawekewa wapi au wapelekewe Jangwani?
 
Acheni siasa za kishamba. Mtapambana kupakaza kila maneno lakini Yanga ni kubwa na inajitambua inafanya nini, kwahiyo kusema kwamba Yanga hana akaunti ya benki ni uongo wa viwango sana na nia yao ni kutaka kuishusha Yanga lakini mtashindwa tu!
 
Atakayelipwa hela ni nani?
 
Je ni Yanga, Hersi Saidi au GSM? unadhani ni kwanini?

Taarifa zingine zinadokeza kwamba Timu ya Yanga haina hata Akaunti ya Benki, hata kama wanapaswa kulipwa hizo hela watawekewa wapi au wapelekewe Jangwani?
Malipo yataenda moja kwa moja kuchangia chama
IMG-20250816-WA0027.jpg
 
Je ni Yanga, Hersi Saidi au GSM? unadhani ni kwanini?

Taarifa zingine zinadokeza kwamba Timu ya Yanga haina hata Akaunti ya Benki, hata kama wanapaswa kulipwa hizo hela watawekewa wapi au wapelekewe Jangwani?
inalipwa yanga timu inayommiliki
 
Back
Top Bottom