Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kama ulishawahi kutazama game zake either physically au online bila shaka utakiri huyu jamaa ni mchawi kama sio jini kabisa. Jamaa anakufunga anavyotaka yeye, yani kuna ile game unaona kabisa...
21 Reactions
84 Replies
4K Views
Nyie mnaoamini Maisha ni pesa kuna mbinu zaidi ya pesa CHAN imenifundisha mengi sana nisidharau mtu sababu ya pesa unaweza ukaahidiwa mamilioni ukaishia kupata history ulikuwepo CHAN Nimewaza...
0 Reactions
2 Replies
599 Views
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi...
19 Reactions
135 Replies
6K Views
Nimeona jezi za Simba alizitengeza diadora zikiwa mbaya mno. Nina wasiwasi kama kweli jayrutty alitwambia ukweli kama diadora ndo atakuwa na mashirikiano nae ili wazalishe jezi Bora Diadora ni...
6 Reactions
60 Replies
3K Views
Huyu ni mbunifu mpya baada ya sheria ngowi kutemana na yanga vipi hapo amepatia au tuendelee kumpa muda
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Jezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025” Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio...
19 Reactions
108 Replies
4K Views
Mtengezezaji wa hizi jezi ni tapeli ndo nini hiki? Poor utopolo
9 Reactions
22 Replies
1K Views
liyekuwa gavana wa kaunti ya Nairobi, Mike Mbuvi Sonko, anataka mechi ya robo fainali ya CHAN kati ya timu ya taifa ya Kenya na Madagascar irudiwe. Katika ombi aliloliwasilisha mbele ya bodi ya...
1 Reactions
6 Replies
857 Views
WALE MLIOMPENDA YAKOUB WETU MECHI ZA TAIFA STARS UKWELI SIMBA BADI HAWAJAMLIKI JANA JKT WAMETOA SIKU SABA SIMBA KUKAMLISHA AHADI ZAOO IKIWEMO KUMALIZIA MALIPO NA KUWAPA WACHEXAJI WATATU TOKA...
2 Reactions
1 Replies
477 Views
Young Africans [emoji1241] na Utaratibu wao ule ule. Baada ya kuwasimanga wapinzani wao Simba Sc kwenye jezi zao za msimu uliopita wakiweka namba 5 baada ya kuwafunga mabao 5-1, msimu huu...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Sijajua ni kwanini kwenye kubuni jezi mnawaza kuhusu mapambio utafikiri ni nguo za fasheni vile. Mara maghorofa, mara kuweka watu na safari hii jezi zimeharibiwa na kuwaza UCCM na kuwaza Simba...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Tuachaneni na huu Ushamba kuwa hata Makocha wazalendo wana Ubavu wa Kufundisha Timu zetu za Taifa. Afukuzwe.
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Hadi raha wana Jf. Huyu Mwamba alitunanga sana oooh kundi dhaifu Madagascar wametuma ujumbe huko. kwenye maisha don't be talkative...
6 Reactions
20 Replies
893 Views
Kwann tunune, Kwanini tukasirike, Kwanini tuwe na huzuni. Wazanzibar tumefurahi Note kuna Wazanzibar na Wazanzibara. Ata sisi Wazanzibar tungependa kuona timu zetu katika mashindano ya CAF FiFA...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Leo Yanga SC wameichangia CCM ambayo ndiyo inatengeneza Serikali Wapumbavu, Washamba na Wanafiki wote mmekasirika mbona hiyo hiyo Serikali inayoundwa na CCM ikiipa Yanga SC msaada wa Ndege kwenda...
17 Reactions
58 Replies
3K Views
Pole alituibia mbinu 1 ya ushindi wa Chama chetu ni kuwa NIDA zote zipo kwenye mfumo wa tume na zimefanya tushinde hata kabla ya uchaguzi Kwanini lakini walisahau kuiunga Taifa stars kwenye huu...
13 Reactions
25 Replies
1K Views
PAMOJA tumeandaa CHAN na PAMOJA tukawa namba 1 kwenye Makundi kadhalika PAMOJA tumetolewa Robo, Tumeaibika PAMOJA! Hii imekuwa Aibu kubwa kwa Jumuiya ya Africa mashariki Ahsanteni sana
1 Reactions
4 Replies
242 Views
Klabu ya Yanga Sc leo imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Haier wenye thamani ya shilingi bilioni tatu, haier watakaa kwenye bega la kushoto jezi ya Yanga kwa misimu mitatu. Je...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa...
52 Reactions
73 Replies
23K Views
Back
Top Bottom