Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

CHAN 2024 – Robo Fainali 🇹🇿 Tanzania vs Morocco 🇲🇦 📍 Uwanja wa Mkapa, Dar ⏰ Saa 2 Usiku Tanzania kwa mara ya kwanza tumefika robo fainali ya CHAN. Morocco ni mabingwa mara mbili (2018 & 2020)...
13 Reactions
410 Replies
15K Views
Kuelekea mchezo wa michuano ya CHAN kati ya Taifa Stars dhidi ya Morocco utakaochezwa leo Agosti 22, 2025 katillka dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam, Mkuu wa mkoa huo Mhe. Albert Chalamila...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Hii ndio hali halisi ya Watanzania kwa sasa kutokana na yanayoendelea Nchini mwao Wengi wanaiombea Dua njema Morroco ili iiondoe Nchi yao kwenye CHAN. Tulipowahoji kwanini wanasaliti Nchi yao...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, Agosti 22, 2025 ametangaza motisha ya Shilingi milioni 20 kwa wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuelekea mchezo wa robo fainali...
1 Reactions
10 Replies
623 Views
Aliahidi hivi: 1. Kila mchezaji kupewe kiwanja Kigamboni 2. Kipa asiporuhusu goli anapewa gari Crown Mpyaaa
7 Reactions
14 Replies
861 Views
Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Polen Uganda huo ndio mpira. Sasa Fainali ni kati ya Algeria na Morocco, Bingwa ni 🇲🇦.
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Hovyo kabisa Kocha Hemed Suleiman Morocco yaani unaona kabisa Sopu na Nado wameshachoka na wanarukaruka tu Uwanjani unawaacha hadi dakika ya mwisho. Fei Toto alikuwa akifanya nini zaidi ya...
0 Reactions
31 Replies
1K Views
1. Sina wa kumlaumu kwa sababu mwenyezi Mungu asingekubali 'mitume' idhalilike kwa rangi nyeusi. 2.Sina wa kumlaumu mpira mwingi umepigwa na Stars leo isipokuwa rangi ya 'mitume' nuksi 3.Sina wa...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mbona tunae tu Kipa mwingine hapo huyo Dogo Abel na nimemuona ni mzuri tena hata kuliko huyu Yakub. Tuwaeleweje?
1 Reactions
1 Replies
775 Views
Jamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani, twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa. Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Hivi huyo Mgaya mnamlipa?mbona hajitambui au anajitolea tu?
2 Reactions
20 Replies
977 Views
Yanga msimu huu inakumbana na changamoto kadhaa ambapo kubwa zaidi ni kuanza maisha mapya bila mchezaji aliyekuwa na mchango mkubwa ambaye Khalid Aucho. Kwangu mimi huyu ndiye alikuwa ndiye mwamba...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu,,,samahani kwa alie pitapita huko madukani...jezi ya stars ni Bei Gani?nataka nikaisapoti timu kesho
0 Reactions
2 Replies
504 Views
Kwenye Mada moja kwa moja, Tukubali kuwa kilichotokea leo ni matumizi ya Brain, tukubali tukutae matumizi ya Brain kwa wachezaji wetu ni KIDOGO sana mfano Coach unamtoa Kagoma anaingia SAADUNI...
7 Reactions
54 Replies
2K Views
Nina furaha sana.. Tanzania ingeshinda basi sisi wengine tusingepumua .. Sifa zote angepewa mama.. Kila kona tungesikia mama mama... Halafu sisiemu wangetumia pia hii kama karata yao kuongezea...
14 Reactions
26 Replies
1K Views
Hongera sana kwa wana haki popote pale nchini Tanzania. Leo ilikuwa ni Haki vs Dhulma na uonevu. Upuuzi na ushamba umeshindwa ila endeleeni kukaza mafuvu.
20 Reactions
58 Replies
2K Views
Nmejipatia tsh 1,200,000 baada ya kubet na jamaa yangu mmoja mwana CCM ambaye aliniambia leo piga ua T. Stars inashinda. Iwe isiwe. Nami nikasema haitoshinda. Nimefanikiwa kushinda mimi. Tsh...
4 Reactions
3 Replies
411 Views
1. Kiungo Yussuf Kagoma nawashauri Simba watafute kiungo mwingine wa chini vinginevyo msimu unaokuja mtakuja kulia, mechi na RS Berkane alikula red card akawakosesha ubingwa huku kwenye CHAN mechi...
28 Reactions
66 Replies
4K Views
Umofia Wadau! Group A: i). Kenya ii). Morocco Kenya itacheza na Madagascar hapa Kenya ina uhakika wa kucheza nusu Fainali. Ila kwa upande wa Timu yetu ambayo kiukweli Coach hajui kupanga...
14 Reactions
62 Replies
3K Views
Back
Top Bottom