Mlinda mlango chipukizi Cheikh Touré (18) kutoka Senegal ameuawa kikatili nchini Ghana baada ya kutekwa na kundi la watu wasiojulikana waliokuwa wakidai fidia kutoka kwa familia yake.
Kwa mujibu...
MAKALA KAMILI: HERSI SAID NA MWISHO WA ENZI YA UONGOZI WA KUJIPAMBA — YANGA SC KATIKA NJIA PANDA
Utangulizi
Kwa miaka michache, Yanga SC imekuwa mfano wa klabu yenye mabadiliko makubwa ya ndani...
“Tumekubaliana kuwa mechi hii imeondolewa viingilio majukwaa yote isipokuwa jukwaa la VIP A na VIP B yamekuwa Reserved kwa waalikwa maalum ambao ni Wageni wetu pamoja na wanachama wa Yanga wa...
Zikiwa zimepita siku tatu baada ya kuachishwa kazi aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Romain Folz kufuatia kipigo cha bao 1-0 ugenini dhidi ya Silver Strikers ya Malawi katika mchezo wa mtoano wa Ligi...
Kama mwanachama anguli wa Yanga, nawaasa acha mara Moja hata kufikiria kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar kwenye timu yetu maana atafeli hata zaidi ya Folz
Mimi ni foundation ya coaching...
Kocha wa timu ya taifa ya Ghana, Chris Hughton, ametimuliwa baada ya timu hiyo kutolewa mapema kwenye mashindano ya kugombea ubingwa wa kandanda barani Afrika (AFCON) yanayoendelea nchini Ivory...
Mtu yeyote anayoshirikiana na dhalimu hawezi kufanikiwa. Lilikuwa kosa kubwa sana la kimkakati katika ulimwengu wa haki. Mwaka huu ni mwaka wa neema kwa wenye haki.
Yanga, kwa kujifungamanisha na...
Unaambiwa adui muombee njaa na Enemy of my Enemy is my Friend.
Man U leo akimpiga Liver, gepu la namba 1 na yeye tatu litazidi kua kubwa. Hapo hatupati tena.
man City sio tishio kabisa.
MAREKANI: Kocha Ruben Amorim amesema yupo tayari kuwarejesha kwenue kikosi chake cha Manchester United ambao hawpao kwenue mipango yake kama hakutakuwa na timu itakayofikia kiwango cha bei...
Klabu ya Simba SC itashuka dimbani leo kuvaana na Nsingizini Hotspurs ya Eswatini katika mchezo wa Raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League Second preliminary round Leg 1 of...
''In Tanzania, you are a hero when you arrive, a hero when you win, and a masiah when you bring trophies; however, if you don't achieve any success, fans, management and leadership unite in your...
Habari wanajf
Nitoe pongezi zangu kwa ushindi mnono tulioupata ugenini dhidi ya Nsingizini lakini ukweli ni kwamba team tuliocheza nayo haijatupa ushindani wa kweli kwahiyo haipaswi tukajenga...
I salute you kinsmen
Folz tayari kishamlamba na sasa tuangalie mbele zaidi na kaimu kocha Mabedi..
Ila nina imani kuwa Bala mussa conte sio mbaya kihivyo ila mfumo tu ule ulimkataa.
Kama...
I salute you kinsmen
Kwa kweli mwanzo mimi nilikuwa moja ya watu niliomtetea folz sana nyie mashahidi
Aleyn Tate Mkuu ngara23 vibertz na wengine wote nyie mashahidi
Ila huyu jamaa kwa kweli...
Baada ya Young Africans kuitoa klabu ya Angola ya Wiliete Sport Clube , sasa imepangwa kukumbana na klabu ya Malawi ya Silver Strikers
TOKA MAKTABA :
Silver Strikers vs FCB Nyasa Big Bullets...
Wakuu
I salute you kinsmen
Kiukweli Simba wamefanya utoto mkubwa sana kugoma kuhudhuriq shughuli iliyoandaliwa na Rais wa African club association ACA na mjumbe ilipo kamati kuu tendaji ya FIFA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.