Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Labda amesahau hivyo nawaomba wana Yanga SC wenzangu hapa JamiiForums tusaidiane Kumkumbusha ili tukanywe.
2 Reactions
12 Replies
442 Views
Wakuu I salute you kinsmen Kuna team ilikuwa inasifiwa sana wanajisifia sana kuwa wao watalipa ticket na uwanja watajaza mapema tu saa 8 mchana unakuwa full Na semaji Lao likawajaza upepo kuwa...
1 Reactions
6 Replies
551 Views
Wasaalam Juzi siku ya mechi ya Yanga nikiwa mitaa ya mandela road kuelekea ubungo nilikutana na makund ya vijana yakitembea kwa mguu kutoka taifa had ubungo mbele mbele vifua waz jasho la...
4 Reactions
5 Replies
411 Views
Kwa niaba ya mashabiki wa Simba naomba radhi Kwa dhambi ya kulinganisha Pacome mchezaji wa World Cup akiwa na timu kubwa Cote D'Ivoire na magharasa yetu ya Mpanzu na Ahoua Leo tumewaona Mpanzu...
7 Reactions
9 Replies
559 Views
Kupitia ukurasa wa Mtandao wa Instagram ya timu ya Simba sports club wameandika kumshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa kitita cha Millioni 15 kama...
1 Reactions
7 Replies
372 Views
Wachambuzi wasiojua mpira wanambagaza Prince Dube binafsi nabaki nawashangaa Sisi tuliocheza mpira na baadae tukapata course za coaching tunajua hata striker kukosa nafasi ya kukosa goal ni mzuri...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
EPL inaendelea kutupa raha, kuna watu mechi nne hawajashinda ata moja. Arsenal kombe letu huu mwaka. Mnao ogopa makelele nunueni ANC earphones.
4 Reactions
19 Replies
545 Views
I salute you kinsmen Wakuu Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon,De Agosto na timu ya taifa ya Angola,Pedro Valdemar Soares Gonçalves (49). Pira Ureno linakuja...
4 Reactions
12 Replies
773 Views
Hizi timu zero mbili safari hii sioni hata moja ya kuvuka hatua ya makundi bali zote zitaishia hatua ya makundi. Yaani hamna cha robo wala mwakarobo kwa timu zote mbili. Kwa sasa, hatuna timu...
1 Reactions
4 Replies
406 Views
I salute you kinsmen Tumevuka makundi, tumeshinda Lakini kuna namna tujipange mapema sana huko mbele pagumu sana Dakika 45 za kwanza Yanga walionesha mchezo ambao tofauti kabisa na ule...
13 Reactions
34 Replies
1K Views
Naomba niweke hili ombi ili tuingie uwanjani mapema basi watuletee supu chapati mida ya saa 5 asubuhi. Hii itatuhamasisha sana na kutupa roho ya kuishangilia team. Pia tutaweza kuja kwa wingi...
2 Reactions
3 Replies
220 Views
Alihamdulilah tumeshinda Kipindi cha kwanza nilishindwa kuelewa hata kidogo game plan ya mwalimu ya pale kati kuwepo Camara tu mbaya zaidi akichezeshwa kama no 6 binafsi mi ni muumini wa traits...
3 Reactions
9 Replies
815 Views
Kwa Mashabiki wa Simba SC mtakaoenda Uwanjani kuweni makini sana na Wallets zenu na Simu zenu za Gharama.
2 Reactions
10 Replies
490 Views
Leo nimeweka bet ya 100m kuwa Yanga itashinda am 3-0 au 3-1; nikikosa zote, basi nitahamia mapangoni. Nikipata mojawapo, basi tuwasiliane nikakupe bia za bure mpaka uzitapike: "He was a wise man...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Joao Mota Maria ndiye Kocha Mkuu mpya wa Yanga SC, raia wa Ureno. Kocha Mpya wa Yanga SC Joao Mota Maria anawasili nchini alfajiri ya Oktoba 25, 2025 na ndege ya saa tisa alfajiri, atakuwepo...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Hii match tumeimaliza nje ya Uwanja. Na ubao unasoma tuna goals zisizopungua 3. Leo hawa madogo wanapigika kinyama hasa. Wameshakubali matokeo. Sisi tupo vizuri na tunaingia uwanjani kuwachakaza...
3 Reactions
6 Replies
319 Views
Dokumentari ya Fiston Mayele alivyopokewa kuwa mfalme wa uwanjani ktk nchi ngeni https://m.youtube.com/watch?v=YIKlNoYxNDc Ceci est un film biographique du joueur Fiston Kalala Mayele retraçant...
1 Reactions
1 Replies
254 Views
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Yanga SC jioni ya leo wataingia uwanjani kurudiana na timu ya Silver Strikers kutoka Malawi Katika mechi ya kwanza iliyofanyika jijini Lilongwe...
8 Reactions
150 Replies
7K Views
Kwanza nitoe pole kwa mashabiki na wanachama kwa kipindi hiki kifupi na kigumu tulichopitia tangu timu ilipokuwa chini ya kocha aliyetimuliwa Romain Folz. Kocha huyu alikuwa hana uzoefu wa kutosha...
17 Reactions
70 Replies
2K Views
Wale ambao huwa mnawaona wakiingia Uwanjani pale Goli likifungwa au Mechi ikiwa bado inaendelea siyo kwamba huingia kwa Mahaba ya Mchezaji fulani au Goli kufungwa bali kwa tunaoujua vyema Mpira wa...
2 Reactions
13 Replies
656 Views
Back
Top Bottom