Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,398
- 5,001
“Tumekubaliana kuwa mechi hii imeondolewa viingilio majukwaa yote isipokuwa jukwaa la VIP A na VIP B yamekuwa Reserved kwa waalikwa maalum ambao ni Wageni wetu pamoja na wanachama wa Yanga wa Black Card.
Ombi hili la kuweka mechi hii isiwe na viingilio lilikuwa Gumu sana kukubaliwa kwakuwa viongozi wetu wana mahitaji mengi sana ya kuiendesha timu yetu, Kwa kutambua umuhimu wa mchezo huu iliulazimu Uongozi wetu ukubali na kuweka kipaombele ushindi ambao kila mmoja wetu anauhitaji” Ally Kamwe
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko