Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Waamuzi wa mechi za Ligi Kuu na mchezaji mmoja wamefungiwa kutokana na utendaji mbaya katika michezo iliyopita. Kikao cha kamati ya saa 72 kilichokaliwa jana kimeamuru adhabu kwa waamuzi...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
  • Closed
Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Kocha mpya wa Simba SC, Dimitar Nikolaev Pantev kutoka Bulgaria, amekubali kuanza rasmi kazi yake baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2027. Simba imelipa fidia kwa klabu ya Gaborone...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
I salute you kinsmen. Wakuu Yanga nimewavulia kofia kwa kweli! Yaani hii team watu wana akili kupitiliza Nakushukuru sana Mungu wa mbinguni kunifanya niwe yanga hakika sijawahi kujutia kabisa...
13 Reactions
78 Replies
3K Views
Mimi mwehu ndama jitu la mtumba , ndio nilikua wakwanza kuzipinga mbinu za tapeli wa kifaransa"Roman Folz" na sikuishia hapo tu, nilienda mbali nakukosoa uchezeshwaji wa mchezaji Aziz andambwile...
4 Reactions
5 Replies
582 Views
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) linatafakari kufanya mabadiliko makubwa katika sheria ya upigaji penalti kwa kuondoa mabao yanayofungwa kupitia mpira unaotemwa na kipa. Katika mapendekezo...
4 Reactions
15 Replies
875 Views
Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa!
1 Reactions
4 Replies
488 Views
Next match : Simba SC vs Namungo Fc game itapigwa saa 8:15PM Starting Xl ya Simba SC All the best Simba SC 🦁 #Nguvu moja
8 Reactions
63 Replies
3K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa kwa mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Zambia.
4 Reactions
16 Replies
2K Views
I salute you kinsmen Hivi mnajua kuwa haijawahi kutokea Simba mbovu kuliko Hii ya leo? Yaani haina tofauti na mbwinde fc ya kwetu kilimagohe kimbiji. Nachelea kusema wale Gaborone ni kwamba...
3 Reactions
8 Replies
729 Views
Piga ua Tumlete Mgunda Kwa hiki kikosi kilivyo hakuna kocha mwenye akili timamu mzuri kutoka Nje anaweza kukiongoza kikosi hiki. Piga Ua Tumlete Mgunda Mo alimtaka sana mgunda ila Wajumbe wa...
1 Reactions
8 Replies
377 Views
I salute you kinsmen. Yaani Tanzania hii kuna team kutwa kutuaibisha tu, Wao mambo meusi yamejaa tele klabuni kwao nje ndani. Wao walijifanya eti wamempa ruhusa kocha alete wachezaji anaowataka...
8 Reactions
22 Replies
907 Views
I salute you kinsmen Kiukweli sisi mashabiki wa Simba tunaumia sana na team yetu. Licha ya fadlu kutukimbia bado tunazidi kuumia na performance yetu mbovu kwa hawa matapeli wawili Morocco na...
3 Reactions
18 Replies
777 Views
Mlinda mlango wa Gabo utd amenaswa akifukia kitu golini kabla ya mechi dhidi ya Simba SC Benjamini Mkapa stadium. Mambo kama haya huwezi kuyakuta ulaya 😁😁 sasa unaroga afu unafungwa 🤣🤣 atari
4 Reactions
13 Replies
513 Views
Ligi kuu ya NBC inaendelea leo kwa michezo miwili muhimu. mchezo wa kwanza utazikutanisha Singida Black Stars na Mashujaa FC majira ya saa 14:00 mchana. baada ya hapo, kutakuwa na mtanange mkubwa...
2 Reactions
73 Replies
4K Views
Game ya matola nimefurahishwa na uthubutu wake Wa kuanza na kikosi ambacho viungo washambuliaji ni aina ya viungo wanaoweza kukupa kitu IQ ya mpira,kupunguza watu kutokua na ubinafsi japo mpanzu...
4 Reactions
4 Replies
583 Views
Hasara haikuwa kubwa kwa vile sikuwa na uhakika kama kweli Yanga itashinda, ila niliweka mkeka uliegemea Yanga kushinda, kwa hiyo matokeo ya leo yamechana mkeka wangu huo. Yanga huhangaishwa sana...
4 Reactions
18 Replies
847 Views
Habari wakuu… Michuano ya Kombe la Vilabu la Dunia imewadia, ambapo vilabu 32 kutoka mabara tofauti vitapambana kumsaka bingwa kuanzia Juni 14 mpaka Julai 13 nchini Marekani. Hii ni format mpya...
24 Reactions
2K Replies
63K Views
Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100% Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae...
16 Reactions
624 Replies
81K Views
Uongozi wa Klabu ya Mpira wa Miguu - Coastal Union umefikia makubaliano ya pande zote ya kusitisha kandarasi na Kocha Mkuu Ali Mohammed Ameir. Klabu inamshukuru Mwalimu Ali Mohammed Ameir kwa...
1 Reactions
0 Replies
247 Views
Back
Top Bottom