Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hii ni tathmini yangu ya mambo 10 tuliyoyashuhudia katika matamasha ya Simba Day na Yanga Day. 1. Ni wazi mauzo ya jezi mpya za Yanga siyo mazuri. Jezi za Simba zimeuzika saana. Kuna tukio la...
11 Reactions
56 Replies
2K Views
Niliangalia matamasha ya Simba day na Yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha...
1 Reactions
2 Replies
348 Views
The government has shut off over 50 betting firms for operating without the approvals of the Betting Control and Licensing Board (BCLB). In a letter sent to Communication Authority of Kenya (CA)...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza naona coach Folz ana kazi ngumu mno kwenye kupanga kikosi. Young wameboresha timu Yao inatosha 1. Goal keeping Diarra ni yule yule ametoa mchezo mzuri mno, na mwenzake Msheri 2 Defending...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Hivi punde Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamezua gumzo kubwa mitaani na mitandaoni baada ya kutangaza viwango vya tiketi kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya jamii kati ya Yanga SC dhidi...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, Kama ule mpira waliocheza Simba siku ya tamasha lao ndo mpira wao kwa msimu huu, naomba kesho tufungwe ili kocha Fadlu afukuzwe mapema. Timu haieleweki...
1 Reactions
10 Replies
688 Views
Wanasema ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Nilishatoa angalizo mara nyingi, hakuna uwanja wa mpira utakaokwenda kujengwa pale Jangwani. Hizo habari za hati ni siasa tu. Ina...
11 Reactions
42 Replies
2K Views
Maamuzi ya CAF yametokana na mashabiki kuvunja utaratibu kwenye mechi ya CAF CC dhidi ya Al Masry. Mechi dhidi ya Gaborone Utd ya Sept. 28 haitakuwa na mashabiki
5 Reactions
55 Replies
2K Views
Mwamuzi wa kati ambaye pia ana begi ya FIFA Ahmed Arajiga kutoka Manyara ndiye mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa Derby ya Kariakoo hapo kesho. Arajiga atasaidiwa na waamuzi wa pembeni Mohamed Mkono...
6 Reactions
14 Replies
983 Views
Inaonekana jamaa alikuwa anaipenda sana Yanga siku mingi. Sio kwa mauno yale wakati wa kutambulishwa.
16 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadau, hebu tuweke kando ushabiki na tuangalie hoja kwa jicho la tatu. Simba wana Simba Day, Yanga nao wana Yanga Day. Zile ni siku kubwa zinazojulikana kitaifa na kimataifa—matamasha, burudani...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Kila mara linapokuja Tamasha la Wananchi yeye anakuwa na kazi ya kuhamasisha tu watu kufika Uwanjani lakini Siku ya Tukio msemaji Mkuu anakuwa Chaguo la Tajiri Haji Manara. Mwaka huu aliahidi...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Tangu lini Fadlu akawa nahodha wa Simba. 😂😂
6 Reactions
6 Replies
475 Views
Mkali wa Ufilipino Manny Pacquiao amepigiwa kura nyingi zaidi kama bondia bora katika karne ya 21 mbele ya mpinzani wake Floyd Mayweather. Mayweather, ambaye mara nyingi hufikiriwa kuwa mmoja wa...
3 Reactions
59 Replies
9K Views
Ikifika saa sita usiku kutakuwa nyuzi zisizopungua 3 za Simba na Yanga. Huwa inashangaza sana🤣 Hebu mtag anayefaa kuanzisha uzi huo ili wengine wapumzike tuu
11 Reactions
42 Replies
1K Views
Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri? Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Dimtry Bivol bondia kutoka Russia hatimaye ameweza kumshinda kwa points, bondia machachari kutoka Mexico Saul Alvarez Canelo katika pambano la raundi 12 lililofanyika Las Vegas. Pambano lilianza...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwenye link tafadhali atuwekee hapa. Hili sio la kukosa
2 Reactions
10 Replies
490 Views
Back
Top Bottom