Habari wanajf
Nitoe pongezi zangu kwa ushindi mnono tulioupata ugenini dhidi ya Nsingizini lakini ukweli ni kwamba team tuliocheza nayo haijatupa ushindani wa kweli kwahiyo haipaswi tukajenga matumaini makubwa kuwa team yetu itafika final au nusu final ukiangalia team iliyocheza na Yanga imeonesha ushindani mkubwa mpaka sisi wapinzani wao wajadi tumefurahi namna walivyokuwa wanapelekewa moto.
Inatupasa tumpe muda kocha na tuondoe matarajio makubwa alafu tuangalie team itakuaje