Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Siku ya jana pamoja na siku zingine nyuma, Tanzania imeshuhudia mashindano ya ngumi yanayojulikana kama “Knockout Ya Mama”, yakitajwa kuwa ni sehemu ya kukuza michezo nchini. Mashindano haya...
1 Reactions
16 Replies
715 Views
Kiungo wa Klabu ya Yanga Sc Pacome ZouZou ameongezwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ivory Coast kuchukua nafasi ya Ibrahim Sangare, anayeitumikia Klabu ya Nottingham Forest ya Uingereza baada...
9 Reactions
27 Replies
4K Views
Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
[emoji599] OFFICIAL & CONFIRMED: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo fundi ZOUZOUA PACOME (26) kutoka Asec kwa Mkataba wa miaka miwili. Pacome [emoji1132] ni kiungo...
6 Reactions
56 Replies
7K Views
Kufuatia Morata kuanza kwa kusuasua kwenye klabu yake ya Chelsea. Wengi wanahofu Chelsea wanaweza wakawa wamesajili garasa. Tujikumbushe baadhi ya wachezaji ambao waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe...
5 Reactions
218 Replies
27K Views
Kikosi cha Taifa Stars kinachoanza dhidi ya Zambia 7’ Tanzania 0 vs 0 Zambia FIFA Calendar updates …!
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuelekea...
1 Reactions
11 Replies
460 Views
Klabu kubwa Afrika Tp Mazembe na As Vital Club 🇨🇩 hazijakidhi kufuzu mashindano ya kimataifa msimu huu. Timu zilizofuzu nchini Congo ✅ Ligi ya Mabingwa Afrika: •Eagle du Congo (Bingwa wa Ligi) 🏆...
14 Reactions
80 Replies
3K Views
I salute you kinsmen. Hatimaye sasa tumejua Romain Folz ametimuliwa na muda wowote kwanzia sasa tangazo litatolewa.. Ila kwa hapa viongozi wamecheza kama Pele Romuard Rakontondrabe ni kocha...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Msemaji wa klabu ya JKT Tanzania Masau Bwire amekanusha taarifa zilizopo mitandaoni kuhusu wao JKT QEENS kupeleka barua za kutaka mchezaji wa Yanga Princess kufanyiwa vipimo vya jinsia na amesema...
0 Reactions
1 Replies
302 Views
Tutamsahau mda si mrefu Yanga wamemmaliza gafla
3 Reactions
21 Replies
1K Views
1. Raoul Shungu (DRC) 2000 2. Charles Boniface Mkwasa (Tz) 2001 3. Jack Chamangwana (Malawi) (rip) 2002-2004 4. Jean Polycarpe Bonganya (DRC) 2004 5. Syllersaid Mziray (Tanzania) (RIP) 2004 6...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kikosi cha Taifa Stars kimewasili Zanzibar kwa maandalizi ya mechi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Zambia, itakayochezwa Oktoba 8 kwenye Uwanja wa Amaan.
0 Reactions
4 Replies
368 Views
Viongozi wa Yanga tafadhari sana, tena sana msifanye kosa la kumrudisha Saed Ramovic. Kumbukeni jinsi Yanga yake ilivyo kuwa shambolic in defense ikifanyiwa counter attacking. Ilikuwa wapinzani...
6 Reactions
25 Replies
995 Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia na Rais wa Yanga, Hersi Said wameteuliwa katika kamati tofauti za Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA). Karia ambaye pia...
3 Reactions
4 Replies
470 Views
Kocha Miloud Hamdi huyu ni bonge la kocha katika upande wa mbinu na ufundi sijui hata ikawaje kaachwa kizembe. Azam walipigwa msako pamoja na kutokuwepo kwa Khalid Aucho ila Yanga ilishinda...
10 Reactions
39 Replies
1K Views
I salute you kinsmen. Rejea uzi wangu uliopita niliposhauri kuwa tatizo la yanga hasa ni mkurugenzi wa ufundi bwana Moalim aliyeondoka.. Leo najaribu kuelewesha deep sana. Well let's goo. Huyo...
-1 Reactions
49 Replies
1K Views
I salute you kinsmen Nimeona kelele nyingi sana zikitaka Romain Folz afukuzwe Well kila mtu ana lake ila kwa mtazamo mkali kabisa nimeona tatizo kubwa lilikuwa hapa.. Kilichomsaidia Miloud...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen ni kuwa Simba na Yanga watalazimika kutafuta viwanja vingine kwasababu dimba la Benjamin Mkapa litaendelea na matengenezo makubwa mwezi huu hivyo kupisha...
2 Reactions
15 Replies
720 Views
Back
Top Bottom