Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho Yaani...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Na ndiyo maana nilifurahi mno kuona Super Black kachezewa mchezo alikokuwa na sasa hayuko kwani hakutusaidia.
0 Reactions
11 Replies
509 Views
Kuna Systems nyingi watu huwa wanakuja nazo ila mwisho wa siku kutokana na probability na odds zina-favor mtoa odds ni kwamba Bookmaker huwa anashinda tu mwisho wa mwaka, hata ukimpiga leo baada...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Star wa Simba amepata msiba wa kifiwa na baba yake mzazi, Binafsi Nampa pole Kwa msiba huo Kibu ni star wa football TANZANIA amecheza mpira muda mrefu na sasa yupo Simba analipwa zaidi ya milion...
7 Reactions
68 Replies
3K Views
Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma "...Mheshimiwa mfuko wa wasanii pesa alizotoa Mama Samia leo tukiuliza kuna shilingi ngapi au mliowakopesha wamerudisha shilingi ngapi wapo hapa kuchukua hela leo...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Congo ...... Wamefuzu Kushiriki Fainali Za Kombe La Dunia 🇨🇩 DR Congo defeat Nigeria 4-3 on penalties to book their place in the inter-confederation playoffs in March. The Leopards are now...
1 Reactions
13 Replies
921 Views
Wakuu i salute you kinsmen Mimi kama mimi mwenyewe nimafuatilia sana team yetu tangu mwanzo mwa msimu na mara kadhaa niligusia swala moja moja ila leo nitagusia yote yanayotukwamisha kwa namna...
7 Reactions
16 Replies
879 Views
I salute you kinsmen Wakuu za chini ya kapeti ni kuwa kuna baadhi ha wachezaji wa team yetu wamekuwa hawatoi ushirikiano kwa asilimia mia na kuwa wavivu wakubwa kazini kwao. Ndio maana...
3 Reactions
15 Replies
975 Views
YANGA YADAIWA TENA, WACHEZAJI WAZIDI KUCHOKA AHADI HEWA Kwa mujibu wa taarifa ambazo zimefika mezani kwetu, wawakilishi wa kiungo wa Yanga SC, Aziz Andabwile, wamefungua rasmi kesi TFF wakidai...
2 Reactions
18 Replies
940 Views
Je, kuna Siri gani labda iliyojificha hapa? au huwa ni lazima labda kila Spika wa Bunge la JMT awe ni Shabiki wa SSC?
0 Reactions
19 Replies
734 Views
Tukubali tu stars hatuna wachezaji! Tuanze tu upya kuandaa misingi ya soka serious na siyo uhuni wa TFF kuchezesha maveterani na kuiita ligi ya U 20
1 Reactions
4 Replies
354 Views
Mimi naanza na Sergio Ramos
3 Reactions
152 Replies
5K Views
IFFHS Top 10 African Club Rankings – October 2025 🇪🇬 Pyramids FC – Egypt 🇪🇬 Al Ahly SC – Egypt 🇲🇦 RS Berkane – Morocco 🇹🇳 Espérance Sportive de Tunis – Tunisia 🇿🇦 Mamelodi Sundowns FC – South...
2 Reactions
3 Replies
700 Views
Kuna taarifa kwamba kuna vijana wengi wa academy ya mpira huko Mwanza waliuuwawa kikatili sana katika machufuko ya October 29 lakini hii timu haikuona hiyo ni habari na badala yake wamejikita...
1 Reactions
4 Replies
328 Views
Azam Tanzania Nairobi United Kenya Maniema Congo Wydad
1 Reactions
4 Replies
606 Views
Kwanza niombe radhi Kwa mashabiki na Wanachama wenzangu wa Yanga, ambao tumekuwa tukivutana kuhusu kiwango cha Dube Me ni shabiki mvumilivu mno Dube havumiliki Ni mchezaji wa kawaida mno Dube...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Si mnajitapa nyie ni Mabingwa wa Mpira, Fitna na Kuroga sasa pambanane na hao Waarabu Wapaka Wese Watatu.
4 Reactions
15 Replies
641 Views
Katika tukio ambalo limegusa mioyo ya wengi, mashabiki wa soka nchini Tanzania tujipamge kuonyesha mshikamano na majonzi kwa wale waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki yaliyofanyika...
11 Reactions
11 Replies
620 Views
Nashauri tuanze mapema kutoa sababu za kutolewa kwani Waarabu watambikiri Mtu kote kote Dar na Cairo Kudadadeki. Asanteni sana CAF kwa hii Draw na sasa tutaheshimiana. Kweli CAF safari hii...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
klabu ya Simba Sc itamenyana na JKT Tanzania katika mwendelezo wa ligi ya NBC leo, Novemba 08, 2025, katika uwanja wa Mej Jenerali Isamhyo majira saa 1 kamili usiku. All the Best Simba Sc.
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom