Mabondia wanne wa Tanzania wafungwa miaka 15 jela nchini Mauritius kwa makosa ya kuingiza dawa za kulevya aina ya heroin.
Mabondia hao ni Case Ramadhani Fills, Nathanael...
GT
Kama Taifa ifike mahali tuwe serious na Taifa letu, zamani tulikuwa tunashangaa kwa nini Kenya mpira si kwa sana hao jamaa wameamua kufocus na nchi yao,sasa ni wakati wetu watanzania tuachane...
Tangu tarehe 29 Oktoba mwaka huu, Tanzania imekuwa ikipitia siku za majonzi na simanzi kubwa. Wimbi la vifo vya raia, mikononi mwa vyombo vya dola, limeitikisa nchi na kuacha majeraha yasiyopona...
I salute you
Wakuu
Kama nakumbuka hapa kati wakati wa kocha Folz pale yanga watu wengi walikuwa wanashauri kuwa Gamondi arudi yanga tu haina haja ya kuzunguka
Lakini shida ya Gamondi ile ile...
Kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars Miguel Gamondi ametangaza kikosi kitakachoingia kambini Oktoba 10 kwaajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya fifa dhidi ya Kuwait.
Mchezo huo kati...
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Frank Ribery mmoja wa wachezaji bora katika miaka 10 iliyopita.
NAAMINI kama sio kivuli cha Leo Messi na Ronaldo, kuna nyakati fulani huyu jamaa alistahili kubeba...
Kocha Miguel Gamondi wa Singida Black Stars ametangazwa rasmi anachukua mikoba ya Hemed Seleman aliyekuwa kocha mkuu wa Taifa Stars.
Soma Pia: Gamondi kocha mpya Singida Black Stars
Miguel...
Kwa mujibu wa chanzo, Shirikisho la soka duniani FIFA limeitaka klabu ya Yanga inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara kujieleza juu ya tuhuma za kushiriki Siasa kwa kukichangia pesa za uchaguzi...
Ndugu Wachezaji, Mashabiki na Wanaharakati wa Amani,
Tanzania yetu imetoka katika kipindi kigumu cha kisiasa, kipindi ambacho baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zetu wamepoteza maisha mikononi...
Nikiwa Rais wa Tanzania ntatengeneza mazingira ili mpira wa miguu uwe unachangia kodi ya sh Trillion 1, ntahakikisha mtoto aliyezaliwa uganda, kenya, Rwanda, Dr Congo, Zambia, n.k anakua na ndoto...
28 October 2025
Addis Ababa
Ethiopia 0 - 1 Tanzania
Tanzania yafaulu mtihani wa kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake la TotalEnergies, Morocco 2026. Twiga Stars imeweza kuingia...
Wadau wa Mpira wa Afrika Mashariki, wamewataka Kenya na Uganda kwenda Tanzania kujifunza Mpira wa miguu.
Wajifinze mbinu za Tanzania wameweza Timu zao zote Nne zikafaulu?
Hongera TFF kwa ubora...
Huu uzi utunzwe.
Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania.
Na hana mafanikio yoyote kimpira.
Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio.
Hatoboi...
30 Oktoba 2025
Jiji la New York City
USA
Majina makubwa ya wakimbiaji mbio za marathon kyshiriki mbio hizo jumapili tarehe 4 November 2025 saa mbili asubuhi
Mwamba huyo kutoka Tanzania mbali ya...
Leo katika mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kutakuwa na mchezo kati ya Yanga na Mtibwa Sugar utakaopigwa katika Uwanja wa KMC Complex majira ya saa 10:00 jioni.
Mara ya mwisho timu hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.