Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naiona kabisa Brazil Au Argentina wakichukua Kombe la Dunia kwasababu moja tu, timu nyingi za Ulaya huwa hazina bahati sana zinapocheza Kombe la Dunia nje ya Ulaya. Ukindoa hiyo hoja mwaka huu...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Niliongea kauli hii mapema leo kijiweni nikabezwa na kutupiwa maneno ya ukali, huku Watanzania wenzangu wakijigamba kuwa Senegal ni moto wa kuotea mbali bila hata ya Mane kuwapo. Wakati wa mchezo...
1 Reactions
7 Replies
571 Views
Timu ya Dodoma Jiji wameahidiwa Tsh mil. 30 kwenye mechi yao baadaye endapo kama wataifunga Yanga. Kwa maana hiyo ikiwa Yanga itashinda katika hii mechi basi naamini hatutasikia tena maneno...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Sherehe za ufunguzi zimeshaanza naona Muigizaji maarufu wa filamu kutoka nchini Marekani, Morgan Freeman ameshiriki bila shaka amekula kibunda cha kutosha Kama upo mbali na TV yako Sogea karibu...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Kikao cha Bodi ya Wakurugenzi juzi, kimeamua kuleta furaha kwa wana Simba kwa kukisuka vilivyo kikosi cha Simba SC. Baada ya kutambulisha kocha wa makipa na wa viungo, wataleta kocha mkuu...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Bondia Hemed Rashid amepoteza pambano kwa TKO dhidi ya Iman Bariki 'Man Chuga', baada ya kupoteza fahamu na kupelekea kushindwa kuendelea na mapambano na kukimbizwa hospitalini kwa gari maalum ya...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Mchambuzi mkongwe wa mpira.Kwa sasa yupo TV1. Mzee anajua sana historia na matukio makubwa kwenye ulimwengu wa mpira. Mtaani kuna tetesi kuwa yeye ni mmoja wa waanzilishi wa betting.he kuna...
4 Reactions
120 Replies
21K Views
Kuanzia tarehe 20 dunia nzima ya mashabiki wa soka macho na masikio ni nchini Qatar. Itakuwa kero sana kwa mashabiki wenye akili timamu anaingia kibanda umiza kuangalia mechi ya Senegal dhidi ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni wachezaji wa ndani kabisa, ila wanajua sana soka, wanacheza namba mbalimbali. Wako wengi ila jicho langu limewaona wafuatao, na nina imani kwa mtu mwenye jicho la mpira basi hatasita...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran nakuta wanaonyesha sijui vinini! Yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani? Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu...
10 Reactions
64 Replies
4K Views
Wakati Mashindano ya Kombe la Dunia 2022 yakiwa karibu kabisa kuanza, kupitia video fupi Mhariri wa uchambuzi kutoka shirika la habari la BBC Ros Atkin ameiongelea miaka ya tuhuma za rushwa ndani...
7 Reactions
125 Replies
9K Views
Kuna ule usemi maarufu ya kwamba "Ukitaka kazi ya jeshi basi lazima ugangamale". Hivyo kwa mchezaji yeyote wa timu ndogo anapopambana na kuonesha makali ili afanikiwe kuwashawishi timu kubwa...
0 Reactions
2 Replies
542 Views
Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amezungumza na waandishi wa habari huko Qatar kuhusiana na malalamiko ya kutokuwepo kwa pombe viwanjani kwenye michuano ya Kombe la Dunia...
5 Reactions
63 Replies
3K Views
Wakuu anayefahamu ni 'application' gani naweza kuangalia michezo yote za Kombe la Dunia anijuze. Nilitaka kupakua Azam shida na yenyewe unalipia, nataka 'application' ambayo haulipii...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
MECCO SPORTS CLUB MBEYA 1989. Uwanja wa Taifa Dar vs SSC : Matokeo SSC 1 - 1 MECCO. Kuanzia Kulia kwenda kushoto. Saidi Maeda (Team Manager), Saidi Jobe (Kocha Msaidizi), Gabriel Mwitika (Mlinzi...
2 Reactions
100 Replies
58K Views
Nawaangalia Senegal, hii mechi wangecheza kiume wangeshinda, lakini wanapaka paka sana rangi mpira. Wangeingia na ile ari ya miaka ile ya Cameroon na Nigeria. Mpira magoli, haina haja ya kupaka...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Wawakilishi hao wa Afrika wamepoteza kwa magoli 2-0 katika mchezo wa Kundi A kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2022. Licha ya kuonesha ushindani mzuri kwa muda mrefu, #Senegal waliruhusu magoli...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Muda wa kawaida wa mchezo umetajwa katika sheria za FIFA kuwa ni dakika 90. Sheria No.7 Kati ya sheria 17 za soka imeelezea vema Muda wa mchezo. Kanuni zinazotumika kwenye mashindano ya Kombe la...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Ikiwa yamebaki masaa machache kabla ya kuanza kwa fainali za kombe la dunia nchini Qatar baadhi ya wachezaji wataikosa michezo ya fainali hyo kutokana na sababu mbali mbali wengine kwa kupata...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Waingereza wamemaliza kazi zao na shughuli zao mapema na kwenda majumbani na Bar kujiandaa kuangalia Timu yao ya taifa ikichuana na Iran kombe la dunia kwenye kundi la B. Hii imepelekea mitaa na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom