Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Waingereza wamemaliza kazi zao na shughuli zao mapema na kwenda majumbani na Bar kujiandaa kuangalia Timu yao ya taifa ikichuana na Iran kombe la dunia kwenye kundi la B. Hii imepelekea mitaa na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kila Chama akifanya vitu vyake nchi nzima inatabasamu kwa tumbuizo, lakini kikundi kidogo cha 'haters' wanaumia. Wewe unayeumia unampunguzia nini Chama? Tazama umeumia miaka yote hii ndiyo...
7 Reactions
8 Replies
977 Views
Mashindano ya Kombe la dunia yameanza rasmi nchini Qatar. tutashuhudia, umahiri wa hali ya juu jinsi ya kusakata kandanda, tutashuhudia akili, maarifa na bidii ya timu na wachezaji mmoja mmoja...
1 Reactions
2 Replies
466 Views
Ni picha iliyojizolea umaarufu mkubwa watu wengi wakidhani picha hio ilikuwa ni ya kweli na ilipigwa kwa lengo la kumbukumbu, Stori ipo tofauti kabisa. Picha hii imeandaliwa kwajili ya mikakati...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Natumaini wana bodi nao huwa wanatazama hizi mechi hasa za Nbc Premier League. Najua na wao wanaona kama tuonavyo sisi, wanapata muda wa kutafakari, kuchambua kati ya pumba na mchele. Basi tuombe...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ila mchezo wa soka una mambo mengi sana ya kufurahisha, na huwa nawashangaa watu wanao sema sio wapenzi wa mpira maana wanakosa vitu adimu na sitarehe za aina yake. Hao kwenye picha ni mashabiki...
38 Reactions
35 Replies
3K Views
Ilani ya CCM inaagiza watanzania popote walipo wapate mawasiliano ya ndani na nje ya nchi kwa gharama nafuu kwa kadri inavyowezekana TBC wanawaletea mubashara fainali za FIFA World Cup Ikumbukwe...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Hawa Qatar sijui wamepataje hii nafasi ya kuwa mwenyeji wa mashindano makubwa kama haya. Timu yao ya Taifa hata Ihefu ina afadhali kubwa mno, mpaka dk. ya 30 washapigwa mbili bila. Nadhani hawa...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo amewaambia Real Madrid kuwa yupo tayari kujiunga na klabu hiyo kwa muda wa miezi sita. Ronaldo (37) ambaye yupo mbioni kuachana na Manchester United anataka kwenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je, ni kazi gani ninazoweza kufanya kama skauti aliyehitimu? Ukiwa na sifa katika utambulisho wa talanta, unaweza kuwa skauti katika ngazi mwanzo kabisa kama mpenz wa soka, nusu-mtaalamu au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aisee mnao angalia gemu ya simba nadhan mnaona maigizo na namna match fixing Zinavo kua.. Mechi ya simba na ruvushooting huwaga ni maigizo matupu.. We Uliona wap boko anafunga 😂😂 Yaani wachezaji...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wadau wa Jamii Sports? Nina ombi moja kwenu. Mimi ni kijana Mtanzania mwenye kujituma, mwenye nidhamu na mchapakazi. Ninaandika ili kuonyesha nia yangu ya kuomba nafasi ya kuichezea klabu...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama. Pia...
18 Reactions
129 Replies
9K Views
Nisiwachoshe msinichoshe Endeleeni kuangalia mchezo wa danganya toto, magoli zaidi yatafata kipindi cha pili TFF, bodi ya ligi, takukuru kazi kwenu.
9 Reactions
87 Replies
6K Views
Wakuu hapo vip kwa TBC wataonesha the second match?
0 Reactions
5 Replies
697 Views
Ndio!! Wala hujakosea kusoma kichwa cha habari hapo juu. Simba SC ipo katika hatua za mwisho kuingia mkataba na winga hatari AUGUSTINE OKRAH (Miaka 28) wa klabu ya Bechem Utd (Iliyoshika nafasi ya...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu heshima sana. Huku kwetu madongo kuinama hukuna umeme. Mitaa ya matejoo,Kambi ya Fisi,Matevesi,Olkeriani,Olkokola,Kaloleni,Ngarenaro,Daraja II,Mkonoo na vitongoji vingi hakuna umeme...
4 Reactions
11 Replies
684 Views
Ina maana kwa mimi Mtanzania mwenye kisimbusi cha Azam ndo basi kombe la Dunia Qatar 2022 sipelekwi? Wadau sisi hatutaweza ona hata nusu ya matches? Nimeulizwa hayo maswali sikuweza jibu. Nawasifu...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari za saa hizi wakuu, Moja kwa moja kwenye mada,mm nimeathirika na uraibu(addiction) wa kucheza mashine ya kamari (bonanza au dubwi), hasara ninayopata ni kubwa sana. Nimefeli malengo mengi...
5 Reactions
46 Replies
12K Views
Back
Top Bottom