Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Timu ikiwa inapata matokeo kamwe kwa mashabiki mandazi hawawezi kuona mapungufu yao ndivyo ilivyokuwa kwa Simba ya Mo na yanga ya Manji, tofauti ya Mo na Manji ni kuwa Manji alikuwa na love na...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii ni baada ya siku chache pale nchini Qatar katika mechi ya mtoano hatua ya 16 Bora morroco walipo fanikiwa kuwaondoa spain. Sofiane Alisema ushindi huu ni kwa Waaarabu wote na Morroco.
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Fainali za Kombe la Dunia la mwaka 1974 lilifanyika pale Ujerumani Magharibi ambapo wenyeji walifanikiwa kushinda kombe hilo kwa kuwafunga Uholanzi 2-1 katika mchezo wa fainali. Ujerumani...
31 Reactions
38 Replies
8K Views
Baada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani. Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana...
12 Reactions
70 Replies
6K Views
Brazil wameyaaga mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2022 baada ya kufungwa 4-2 na Croatia kwa mikwaju ya penalti. Hakika Brazil ilikuwa ni ile ya akina Pele, Tostao, Garrincha, Didi na wengineo...
17 Reactions
30 Replies
3K Views
Ok, Nadhani kila mtu anajua kwamba Simba tayari wamewahi kumaliza ligi kwa kushika nafasi za chini na hata kunusurika mara nyingi kushuka daraja huku Yanga ikiwaokoa zaidi ya mara moja wasishuke ...
2 Reactions
6 Replies
862 Views
Nipo hapa kuwauliza mashabiki wa Simba na viongozi wao, je, bado mna imani Yanga haishindi kwa uwezo? Bado mnaamini Yanga inatumia bahasha na Tigo Pesa kupata matokeo? Mashabiki wa Simba ni...
11 Reactions
17 Replies
1K Views
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza kuingia ubia na kampuni Mama ya kitanzania ya Formula360 Ltd katika uwekaji wa matangazo ya kidigitali katika uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa kwa...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Hata championship Hakuna refa wa kiwango cha ovyo kama huyu. Kabla ya Mechi hii Nilikuwa naamini huyu refa ni dhaifu, lakini aliyoyafanya Leo nimejiridhisha ni refa wa ovyo kabisa nchini...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Sina mengi karata yanagu natupa 1. Brazil 2. England 3. France Huu ni mtazamo wangu tusizungume sana tuupe muda wakati wa kuamua 😂😂😂😂😂😂
0 Reactions
16 Replies
738 Views
Sitarajii Simba isajili mchezaji kama yule. Narudia tena Leo,nilikuwa namwona akicheza na Simba anakuwa na hasira sana na mara nyingine kutaka kukabana na wachezaji wa Simba. Hii ilikuwa ni chuki...
1 Reactions
3 Replies
528 Views
Hii ndio maana halisi ya kaka kuwa muungwana kwa mdogo wake hata kama mdogo wake hampendi, kuna muda ilibidi kaka afanye uungwana ajishushe kumkubalia mdogo wake amshinde ili kumuokoa na kuna muda...
7 Reactions
25 Replies
8K Views
Huyo no Rais wa heshima wa Simba ambaye atajulikana Kama Dr Mohamed dewji baada ya kutunukiwa udaktari wa heshima na George Town University (USA) Huyu jamaaa ni hatari kwani ametoa hotuba ambayo...
0 Reactions
5 Replies
909 Views
Ndugu zetu Kenya wamepeleka wanamichezo 93 sisi hapa tunapeleka watalii wangapi Olimpiki Japan? Au ndo bado tunachakata majina kupitia kamati kuu ya Olimpiki?
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Soka inaunganisha, na kwa kulifahamu hilo ndio maana FIFA kwa muda mrefu ilikuwa haitaki kuingiliana na Siasa, kama una mambo yako au mambo yenu malizaneni huko nje mkiingia uwanjani kuna lugha...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu tafadhali naomba mwenye nyimbo za mwimbaji maarufu wa nyimbo za Christmas Bw.James Reeves (a.k.a JIMMY REEVES) atuwekee hapa ili tudownload na kuenjoy nyakati hizi za sikukuu ya Christmas...
2 Reactions
11 Replies
7K Views
Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata. Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3...
8 Reactions
93 Replies
8K Views
Hivi kwa mfano ndio ingekuwa kweli shida ni nini? Hivi Wabongo nani katuroga? Kutwa kuhangaika na maisha ya Watu!! Mlitegemea Mayele afanye tangazo na Anna kwapa Nene au Shani Nyamichupi...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Morocco Egypt na Libya zilishakataa kuwa wao siyo Waafrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika! Na ni Morocco ndiyo waliopinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa...
32 Reactions
271 Replies
18K Views
Yaan hii nchi ni shida kila kona.Ona sasa Azam na wenyewe wameamua kutuua macho tusione.Mpira unaoneshwa kama wachezaji ni maroboti.
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom