Camera za Azam zinazo onesha Mechi ya Yanga na Namungo ni mbovu na zinaua macho kwa watazamaji.

Yaan hii nchi ni shida kila kona.Ona sasa Azam na wenyewe wameamua kutuua macho tusione.Mpira unaoneshwa kama wachezaji ni maroboti.
Nadhani sasa tunaendelea kupiga hatua moja mbele hata vile viwanja tulivyokuwa atuvitegemei vinakarabatiwa na mechi zinaanza kupigwa usiku

Hilo tatizo wote tumeliona na Azam waliomba radhi nina Imani mechi ijayo tatizo litakuwa limepatiwa ufumbuzi
 
Usichoelewa Dstv game nyingi hawapigi picha wao
Sahihi kabisa, michuano yote ya CAF ina official broadcastiing, UEFA ina official broadcastiing, Euro, michuano ya Fifa, na ile ya kila bara pia ina official broadcastiing ambao sio DSTV. DSTV huwa inanunua haki ya matangazo kutoka kwa official broadcastiing wa michuano husika

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom