Leo watu wanajipigia tu huku wakiwa wanajisifu kwa kupiga bomu wodi Namba 26 (mochwari) Muhimbili.
Wenye akili wote na tunaojua mpira tunajua timu ya kuishangilia, inayopambana na inaweza kufika...
Nimeona Simba ikiwania saini ya kiungo mkabaji Kevin Nashon ambaye kwa sasa anakipiga Geita, Simba itakuwa imelamba sana dume kwa kiungo huyo.
Kevin ni zaidi ya Mzamiru, huyo mnayemuita Fei Toto...
Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola aliyekuwa visiwani Zanzibar kusoma kozi ya ukocha Leseni A ya CAF iliyokuwa ikifundishwa na wakufunzi kutoka nje ya nchi ametua jijini Dar akiwa amemaliza...
Qatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
Baada ya Mganga wao Hatari wa Kienyeji kupelekewa Jezi zote hasa kabla ya kwenda nchini Tunisia Jezi pekee iliyokubalika kwa Dua, Mizimu, Kafara na Uchawi ni ya Rangi Nyeusi yenye Saini za...
Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia...
Patashika ya kugombea alama tatu muhimu kwenye mchuano wa Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea kugombewa leo 03/12/ 2022 ambapo wenyeji Wagosi wa Kaya Coastal Union[emoji191] wanawakabili...
5. Al Ahly SC - Misri - 71
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Al Ahly mabingwa wa kistoria wa Misri ni moja ya klabu kubwa na tishio barani Afrika, ikiwa na rekodi ya kutwaa mataji 42 ya ligi kuu ya...
Kwanza kabisa tunashukuru Mgunda Mnene kutufikisha hapa tulipo pamoja na mapungufu yake ya kimbinu mpaka akapata hizi droo nne ambazo zimetuweka mbali na watani zetu.
Ili tukimbizane na mbio za...
Kuna ubishi siku hizi ambao unaendelea kwa watu wakilinganisha Mayele na Phiri. Kuna watu wanasema Phiri siyo stricker kama Mayele, bali ni kiungo mshambuliaji.
Kwahiyo goli zake nyingi anafunga...
Wahenga walisema mtoto halali na hela ndivyo unavyoweza kusema baada ya jana muwakishi mwingine kutoka Afrika kutolewa kwenye michuano ya World Cup huku Morocco likiwa tumaini pekee lilibaki kwa...
Huu ndio utabiri wangu kwa mechi baina ya Senagal na England inayoanza muda mfupi ujao.
Makartatasi yanaipa nafasi England, ila leo kibao kitageuka licha ya timu za Afrika mara nyingi kupoteza...
Full Time, Yanga inashinda 1-0.
Fei Toto anaipatia Yanga goli
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
88' Yanga wanapanga mashambulizi kutafuta goli la ushindi
87' Shambulizi kali kwa Prisons lakini mpira unatoka...
Huyu jamaa kwa magoli ya mchongo anaongoza kwenye ligi yetu, yaani bila GSM kununua makipa au mabeki plus makocha ni hovyoo kabisa. cheki hapa chini mtu aliyemshindwa last msimu wa 2021/2022 yeye...
Mpira unakosewa heshima sana siku hizi, hii aibu kwa nchi yetu haiwezi kuvumilika tena, mamlaka zinapaswa kutoa onyo zaidi ya hili la kumfungia mtu mechi 3.
Kwanini wasimtumie hata Babra kwenda...
Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean aitwae Saalah ni mdogo wa damu kabisa wa tajiri wa Yanga SC Gharib mwenye GSM yake halafu na dogo Saalah ni mwana Yanga SC lia lia kama ilivyo kwa kaka yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.