Salaam wana jamvi!
Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, napenda kuwapongeza sana watu wa Asia kwa mapinduzi makubwa sana walioyafanya kwenye mpira kwa kipindi cha miaka minne yalidhihirika...
Baada ya kufatilia uchezaji wa hawa miamba, Chama the brain football na Feitoto aka KDB nmegundua jambo hili. Kwa mpira wa kisasa Feitoto ni Bora kuliko Chama
Takwimu zao
Chama....goal 2 but...
Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa.
Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama...
90' Mwamuzi anamaliza mchezo
90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza
85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi
Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga
82' GOOOOOOOOOOO
75' Namungo FC...
Binafsi nitafurahi Simba SC tukimsajili Saidi Ntibazonkiza!, wakikaa pale na chama tunakuwa na namba 10 wawili hatari!, hata siku chama amekosekana no problem!
Wachezaji hawa pia wakiondoka simba...
Hivi kwenye league yetu hii kumeshawahi kutokea mchezaji maarufu nje na ndani kama Fiston Mayele?
Nauliza tu sio kwa ubaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi mechi za leo, sijaona cha Brazil au Uingereza mwenye kiungo cha kupambana na Uhispania ya Luis Enrique Martinez.
Mechi dhidi ya Costa Rica alipiga pasi 1045, sijui kama kuna timu imepiga...
Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni Kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno.
Ureno inasonga mbele zaidi na inaonekana ni wazi bila hata Ronaldo timu inaweza kufanya...
Kiungo huyo mshambuliaji mwenye umri wa miaka 31 amechukua maamuzi hayo baada ya timu timu yake ya taifa kuishia Hatua ya Makundi katika Kombe la Dunia 2022.
Hazard ameitumikia Ubelgiji kwa miaka...
Nina uhakika kwamba Vijana wa ureno wapo moto sana, waachwe waendelee kupewa nafasi kwa hakika Ureno inaweza kufika hata fainali.
Ronaldo akae bench, Fullstop, hana jipya dimbani
Tatizo...
Wampige chini asicheze leo fala huyu. Yaani asitolewe? Akitolewa anasusa? Hata kama uwanjani ana ruka ruka tu? Tabia za kipuuzi sana.
Mimi ngekuwa coach. Ndo simpangi acha kama tutatolewa...
Kwa ambao mnatazama mashindano ya Kombe la Dunia yanayoendelea huko Qatar kupitia Tbc1, kuna yule mtangazaji anaitwa Nazareth Utepe na Baraka mpenja wa Azam.
Nani mwenye kutangaza vizuri pamoja...
Argentina hatua ya 16 Bora itamuwia ngumu mno kwakuwa hadi hapa walipofika ni kwa bahati bahati tu!
Spain yupo na mkusini wake Morocco, siku ambayo watu watazikimbia mikeka yao hapa.
Sina kipaji...
Nimepata wakati mgumu sana hapa Tandika Mwembeyanga, hasa baada ya kujikuta ni mimi tu ndiye nilikuwa Shabiki wa Senegal, vijana wengi wameshabikia wazungu!
Unadhani ni kwanini hali hii?
Ni kama vile timu kubwa zinawekewa vipaumbele kwa kila namna zipate kufuzu hatua zinazofuata. Mechi ya Senegal dhidi ya Uingereza, kabla hata Uingereza kupata goli kulikuwa na tukio la wazi la...
MOROCCO YAFANYA KWELI, YAINGIA ROBO FAINALI
Timu hiyo ya #Afrika imefanya kweli baada ya kuiondoa mashindanoni Uhispania kwa njia ya mikwaju ya penati 3-0 baada ya matokeo ya 0-0 katika dakika...
Katika kuonyesha kuwa Klabu ya Namungo inaelewa Mchezo mzima wa Jezi Nyeusi za Timu Moja nayo imeweka wazi kuwa Jumatano itavaa Jezi zao Nyeusi na kama kuna Timu inataka Kuvaa Jezi Nyeusi za...
Wapenda Soka wote salaam,
Hivi hawa TBC mnawaelewa ndugu zangu? Mbona ubora wa hii mechi wanayoonesha upo chini sana? Kama ubora wa picha upo hivi basi hadi Kombe la Dunia liishe tutakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.